Nani yupo nyuma ya ubunifu na utekelezaji wa mikakati ya CHADEMA?

Utakufa kwa kihoro.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Jobo kaushuhudia..sasa hivi ni kimya chumbani kwake ...Mzee wa kuwapeleka watu kwa pingu bungeni kujibu tuhuma.

Aisee siku zinakwenda kwa kasi saana.
Naye sasahivi anaona umuhimu wa katiba mpya aamini anachokiona
 
CHADEMA huwa inasaidiwa na watu waliopo serikalini sema huwa hawataki kuonekana, hakuna ambaye anafurahia ukatili wa CCM
Nimefuta comment yangu zaidi ya mara moja. Acha ibakie hivyo.
 
Ila CAG kila mwaka anawakagua na anawapa hati safi hizo tuhuma za hela kutafunwa ni utashi wako

Kutokua na ofisi yawezekana sio kipaumbele Chao
 
Uchaguzi huanza wakati wa kuhesabu kura na kukamilika kwa kutangazwa kilichohesabiwa' Kanali Mstaafu Comrade Abdulrahman Omar Kinana Alhabshy
 
January
 
ccm nao wataiga very soon...
 
Mm sina uhakika ila kuna jamaa mmoja yupo pale Arusha anaitwa Amani Golugwa(kama nimepatia jina) atakua yupo nyuma ya hii kitu.

Ni mtu mmoja smat sana ila hasikiki sana.
 
Povu kiasi hiki kwa ajili ya wivu kwa CDM!?
 
Ni wananchi wa kawaida na wazalendo. Kumbuka msemo: "Changamoto ni chanzo cha fikra".
 
pamoja na mwenyekit ccm taifa kua huru lakini bado hawaeleweke kumbe mbowe sio kikwazo hakua kikwazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…