Nani yupo nyuma ya ubunifu na utekelezaji wa mikakati ya CHADEMA?

Chadema iko mbele ya muda miaka 50.
 
Mk
Fanya kazi upate hela njaa zitakuua. Haya ni manenk ya mtu mwenye njaa, wivu, kisrani, roho mbaya
 
Ni lini watapewa udaktari wa heshima ili watambulike kimataifa.

Ni lini watakuwa wabunifu wa wizi wa teknolojia ya uchumi
 

Acha kupanick, jitahidi kuvumilia ukweli japo unakuumiza.
 
Ni lini watapewa udaktari wa heshima ili watambulike kimataifa.
Ni lini watakuwa wabunifu wa wizi wa teknolojia ya uchumi
Kwenye hili huwezi kuwasikia. Wachumia tumbo tu wale. Hawana hata uwezo wa kufikia Ukraine kwa uchumi.
 
Chama goigoi na kilichofilisika kisera na kimaono,mara nyingi uwepo wake hutegemea vyombo vya dola vilivyopoteza uadilifu na kusaliti umma na bila kusahau ujinga na woga wa wananchi wengi katika nchi husika.Chama cha namna hii,uchaguzi ni 'pambano' la kufa na kupona bila ya kujali mbinu gani inatumika.

Matokeo yake ni mjengoni kunajaa vilaza wengi na wanaoenenda kama nyumbu na kasuku huku wakipiga mbizi kwenye anasa za maposho yasiyoendana na hali ya nchi katikati ya 'ulofa' mkubwa unaoumiza umma.
 
Hapo kwenye Madereva kuwa wachaga umekosea kwani mimi ccm na chadema nawafuatilia sana tukumbuke kila kauli wanayokuja na huwa aituachagi salama ndo maana tunakiofia chadema kuliko vyama vyote.

Tukumbuke ktk vyama vyote chadema ni wajenga hoja wazuri awe kijana au mzee yaani wanaouwezo mkubwa wa kujibu hoja.

Nakuja swala la uchaga na swala lako la ukabila haliwezi kuiondolea chadema uungwaji mkono kwani kama ww unafuatilia siasa kuna kada mmoja wa zamani wa chadema na alikuwa anaitwa Msafiri Mtemelwa alikuwa anakaa Tandika huyu Kada aliwapa Madereva wengi wa Yombo na Tandika kazi ndani ya Chadema na wote sio wachaga na ndio walikuwa ktk ile kauli mbiu ya M4C.

Na huyu alikuja kuhamia ACT kwa hiyo tujenge hoja wanaccm wenzangu sio maneno ya kutengeneza ndio maana tunaoneka bila Polisi hatuwezi siasa hoja hujibiwa kwa hoja
 
Vumilia MKUU,UTAPATA MIMBA MUDA SI MREFU...SO PUNGUZA VIHEREHERE
 
Muda mrefu tulishauri kuwa Chadema wajenge Ofisi mpaka vijijini ili wapate maeneo yao ya kuweza kuwakusanya wanachama wao na kupata Taarifa kupitia mitandao kama YouTube n.k.

Chadema ina wabunifu mana wanatumia muda mwingi kufikiria.
CCM wanawaza mbinu chafu muda wote. Na waliopo Serikalini wanawaza namna ya kupata kamba ya manati wakati wa kula Kwa urefu wa kamba. Wanashindana kupata manati inayovutika zaidi. Ubunifu wa kimaendeleo hawana.

Big up Chadema Kwa ubunifu. Japo napata wasiwasi kuwa Kuna mtu hua anatumia fedha vibaya ndani ya Chama.
Fedha zikiwafikia wanachama wengi na viongozi wengi basi zitaleta mafanikio makubwa na kuipumzisha CCM.
 
He...! Mbona makasiriko.....?
 
Wivu wa KIKE utakuua wee mduruma! Beatrice Kamugisha jiweke mbali na hawa mbwa wanakutafuta wakudhuru! Huo ndio ubunifu wao kuteka watu na kucreate kundi la majambazi waliowaita "wasiojulikana". Jiweke mbali na MBWA. Mbwa wenyewe wa CCM wana rabbies!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…