Nani yupo nyuma ya ubunifu na utekelezaji wa mikakati ya CHADEMA?

Chadema siyo wa kuchezea ina wanachama wengi mno,achilia mbali waliojiandikisha kidijitali, wapo watumishi wengi tu wa serikali. Suala la kuwa na ukata ni la kawaida mno kwa taasisi yeyote mpaka serikali mfu ya CCM imekwama mpaka kukimbilia kuwatesa raia kwa matozo yasiyo na kichwa wakati imejaa raslimali za kila aina,tatizo tuna empty brain. Eti unashangaa Chadema pamoja na madhila yote inayopitia kwenye ukandamizaji wa serikali kwa maelekezo ya ccm,bado mnashangaa bado tupo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…