Nani yupo nyuma ya Uhuni huu kwa Sabaya?

We want justice for Sabaya!
 
Atavuna alichopanda huyo Jambazi Sabaya..
Bado kuna kesi nyingine Mwanza na Tanga.
 
Usimhusishe Rais na majungu yenu ya Sukuma Gang. Huyo bwege ataozea jela ana vimeo vingi tu,alikuwa anafanya ujambazi wake kifala akiamini Magufuli ataishi milele. Heri kupoteza hirizi kuliko kufiwa na mganga.
 
Watu wengi wafuasi wa Mbowe huwa mmejaza matope vichwani na ndio maana matusi kwenu ndio IQ.
Mbona umekazania wafuasi wa Mbowe? Kwani hizi kesi ziko mahakamani kwa hisani ya Mbowe au watu wake?
DPP au TAKUKURU ni idara za Chadema? Mbona unabwabwaja kwa uchungu huku msiba wako ukiwatuhumu wasio husika?
Sabaya acha ayaone ya dunia, ni somo kubwa kwa wengine pia ukiwamo na wewe.
 
Mkuu tulia, kuna wakati watu waliwekwa ndani kama njugu na tulitulia, tuendelee ku tulia..
 
Wakati mwingine Unapokuwa kiongozi kumbuka Siyo Raisi tu pekee ana Power. Kuna Watu unaweza waumiza halafu hata Raisi anawaogopa
 
Haki gani unaitaka kwa huyo mhuni. Hakuna lisilojulikana hata sasa anasitiriwa kwa sababu ni chama dola.
 
Hizi kesi zilizobaki ni kesi uchwara tu za kina Kweka na ambazo hawataweza kuzithibitisha.
Kesi iliyotenguliwa na HC sio kwa sababu Sabaya hakutenda yale makosa bali ni technicality za kisheria tuu katika utoaji ushahidi.
Ni ujinga kuona eti hivyo ni kutokutenda kosa
 

Sabaya ni kati ya watu waliofanikisha utawala wa kidhalimu wa Magufuli hapa nchini. Atakuwa na kinga ya maovu yake Ccm ikiwa bado madarakani, lakini huko mbeleni atalipa tu.
 
Kesi iliyotenguliwa na HC sio kwa sababu Sabaya hakutenda yale makosa bali ni technicality za kisheria tuu katika utoaji ushahidi.
Ni ujinga kuona eti hivyo ni kutokutenda kosa
Sasa kama Kweka ni DPP mzuri.
Kwa nini amerudia kosa lile lile?

Utampandishaje kizimbani mtu ambaye hujaandika maelezo yake ya awali na bila kumtaka na yeye aandike maelezo yake ya awali?

Halafu unamhamisha mtu ambaye yuko chini ya Custody ya mahakama kibabe kwenda mkoa mwingine tena bila hata Mwanasheria wake kujulishwa?

Kesi inafeli kabla ya kuanza!
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Yeye alipokuwa akienda Arusha kutekeleza kazi za kiofisi nani alikuwa anampa kibali cha kutoka Hai. Hata Mama Anna alikuwa hapewi taarifa. Wacha naye anyee ndoo magereza yote. Na bado kesi za Boma zinamsubiri
Sure,uhuni alioutumia kuumiza watu ndani na nje ya mipaka ya mamlaka ya utawala wake,ndio uhuni huohuo unatumika kwake kwani mfumo ni uleule.Wengine wajifunze."UNAKUWA MPAMBE HADI BOSI ANAKASIRIKA"Sugu hawakumuelewa akiwa bungeni.
 
Huu uhuni unakuwa engineered na Wakili Kwema na Pccb Kanda Kilimanjaro Ila Siku Sio Nyingi Kweka Kinampata Kitu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kuvuna zabibu wakati ulipanda mbigiri. Mwache sabaya avune matunda ya mti aliopanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…