Nani yupo nyuma ya Uhuni huu kwa Sabaya?

Haki ya unyonge wa Sabaya ukithibitika hasa atastahili "anyongwe". Serikali inajitahidi kumtafutia haki hiyo, wewe tulia.
 
CCM inaonekana mmezoea kuishi juu ya sheria..mtu akichukuliwa sheria mnatoa milio ya kila aina! Halaf haya mambo ya kumfanya Rais ni Kama mfalme afanye anachotaka hatutaki. Sheria zifuatwe
 
Huu uhuni unakuwa engineered na Wakili Kwema na Pccb Kanda Kilimanjaro Ila Siku Sio Nyingi Kweka Kinampata Kitu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yeye wacha aendelee kumpambania Mbowe baba mkwe wake.
Lakini inaweza ika mgharimu muda si mrefu ujao.
 
Wakili aambiwe kwa mantiki gani?
Kama ana hatia ana takiwa kwenda kujibu hatia zake.
Usishangae ukasikia yuko Segerea kwa matendo aliyo tenda Dar. Au Butimba kwa hatia alizo tuhumiwa Mwanza.
Malipo ni hapa hapa.
 
Haya sema kuwa kalipa na stahiki za Lissu....
 
Kesi iliyotenguliwa na HC sio kwa sababu Sabaya hakutenda yale makosa bali ni technicality za kisheria tuu katika utoaji ushahidi.
Ni ujinga kuona eti hivyo ni kutokutenda kosa
Kama kimya kama hujui chochote. Unampa nani lecture hapa?
 
Aliyepo mbele ya uhuni wa Sabaya Ni wahuni wenzie waliomzidi uhuni.

Mwache apambane na watoto wa mjini,maana alikuja kishamba mjini kutoka kijijini kwao.
 
Sio unachokisikia kutoka kwa dying horse mouth ukiamini. Sabaya sehemu ya kwanza kabisa kuhojiwa ilikuwa Moshi chini ya Takukuru kabla hata hajapelekwa Arusha.
Kuhusu kuhamishwa kupelekwa Moshi hiyo sio hoja, maana mahakama imemnyima dhamana na kuwakabidhi Magereza wamtunze bila kusema gereza gani maana wanachohitaji ni Sabaya aletwe mahakamani siku anayopangiwa.
Gereza likimuhifadhi Kisongo au Karanga watajua wao. Hakuna hoja hapo
 
Na siku zote mfungwa hachagui gereza
 
Wakili aambiwe kwa mantiki gani?
Kama ana hatia ana takiwa kwenda kujibu hatia zake.
Usishangae ukasikia yuko Segerea kwa matendo aliyo tenda Dar. Au Butimba kwa hatia alizo tuhumiwa Mwanza.
Malipo ni hapa hapa.
Na kila gereza wanapompeleka wafungwa wenzake wanamuona mpya wanamgombea kama mpira wa kona.
 
Yeye wacha aendelee kumpambania Mbowe baba mkwe wake.
Lakini inaweza ika mgharimu muda si mrefu ujao.
Sukuma Gang kubalini matokeo tu, mbona ize sana mtapata magonjwa nyemelezi bure kwa chuki zenu za kishamba mlizorithishwa na lile jinamizi la kutoka pori la Burigi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…