Nani yupo nyuma ya Uhuni huu kwa Sabaya?

Akishinda mnalaumu technicalities.
 
Sabaya anastahili kila kinachomkuta na zaidi.
 
Kama alivokua anafanya yeye ndivo anafanyiwa yeye wilaya moja kwenda mkoa mmoja hakuhojiwa kwanin ww uhoji hilo
 
Katika maisha ya apa duniani kikubwa ni hekima na kuishi kwa kueshimiana.
 
Wakili aambiwe kwa mantiki gani?
Kama ana hatia ana takiwa kwenda kujibu hatia zake.
Usishangae ukasikia yuko Segerea kwa matendo aliyo tenda Dar. Au Butimba kwa hatia alizo tuhumiwa Mwanza.
Malipo ni hapa hapa.
Wewe ni mburula hujui Sheria.
Endelea huko huko Unyumbuni kwenu.
 
Watu wanafurahia mwenzao kuteseka ni mashetani tu.ni mijitu isitambua maana ya upendo. Nchi hatakuwaja kupata kwa hali,ubaguzi unawasumbua,Mh. Mbowe tumemuopembea ameachiwa.Sasa Sabaya ni binadamu nyingi mabaguzi
 
Watu wanafurahia mwenzao kuteseka ni mashetani tu.ni mijitu isitambua maana ya upendo. Nchi hatakuwaja kupata kwa hali,ubaguzi unawasumbua,Mh. Mbowe tumemuopembea ameachiwa.Sasa Sabaya ni binadamu nyingi mabaguzi
Huna akili takataka wewe. Huyo alikuwa na upendo na nani? Mbowe we ndio uliomuombea? Unaharisha mdomoni.
 
Mbona yeye alivyokua ana operate mkoa sio wake haikua tatizo?
 
Sidhani kama atapenda issue yake ijulikane. Ila kama anataka haki na anataka iwe mfano kwa wengine anaweza ila ana ujasiri huo?
Hakuna tukio kama hilo.
 
Kweka Nina mashaka nae ameamua kumpeleka Moshi akamfunge uko kwao
 
Huwezi kuvuna zabibu wakati ulipanda mbigiri. Mwache sabaya avune matunda ya mti aliopanda
Tena mbigili hazikuziwi,Nyodo za madaraka kupitia mtu mmoja machungu yake
 
Kama yeye alivyokuwa anafanya ndio atafanyiwa hivyohivyo ni Imani yangu sheria zinafuatwa
 
Hiyo Sabaya Project inahaririwa na Mbowe na genge lake la wahuni, si wako free kwa sasa kufanya lolote maana Serikali ya wapigaji iko madarakani
 
Pia usisahau huyu Sabaya alitoka wilaya ya Hai akaenda kufanya uhalifu mkoa wa Arusha!!

Kwahiyo ni Yale Yale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…