Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri taarifa ya upotoshaji toka hivyo vyombo vya usalama.Tungoje taarifa rasmi kutoka vyombo vya Usalama
Kwani haya yanayofanyika ndio yanamuondoa magu kwenye unyama aliofanya? Au kwakuwa yeye hayupo basi mbegu aliyopanda haiwezi kuota?Magufuli kafufuka upya maana Chadema walimtwisha tuhuma zote Magu kuwa ndiye muuaji no moja,na baada ya kifo walifanya bonge la patty kuwa dharimu wao kaondoka, Sasa hivi watakula kuku kwa mrija,Sasa hivi sijui lawama ni kwanani,nafikiri Makonda hajiandae kwa tuhuma hizo zote, maana Mama yao kipenzi hawezi fanya hayo 🥺🥺
Sema vyombo vya wauaji. Usalama haupo tena.Tungoje taarifa rasmi kutoka vyombo vya Usalama
chadema wenyewe
ondoa hiyo "e" weka "a". Hustahili hiyo herufi.chadema wenyewe
Mkuu umeuliza vizuri, machawa yanaona hii ni furaa kwa wananchi kuendelea umizwa.Tungoje taarifa kutoka kwa watekaji??
Achana na mambo ya rais mkuu ,swali kama sie wananchi nini kifanyike ?Rais atoe kauli. Kwenye vitu ambavyo anaviunga mkono huwa yuko kimya kama DP world issue, Loliondo, uuza misitu yetu, na mengine mengi. Obvious anajua utekaji na anaambiwa kila siku na security team. Ameridhia.
Tatizo ICC Wana vigezo vigumu, kwanza lazima yawe ni mauaji ya kutisha sana na kwa maana ya idadi kubwa sana ya watu. Halafu lazima mtu wao ndiyo awe amejiridhisha mauaji hayo kutokea. Kwahiyo sioni ICC kuwa ndiyo suluhisho.Napendekeza Serikali ya tz kufikishwa katika mahama ya kimataifa ( ICC) mawakili watuongoze
Kwani apa kwetu waliopotea wangapi achana na wale ambao miili yao imeokotwa? Watu wangapi wanatakiwa ili ijulikane kwamba ni mauaji ya kimbari ,3, 10 ,100, 1000 au elfu 10 , japo naheshim hoja yakoTatizo ICC Wana vigezo vigumu, kwanza lazima yawe ni mauaji ya kutisha sana na kwa maana ya idadi kubwa sana ya watu. Halafu lazima mtu wao ndiyo awe amejiridhisha mauaji hayo kutokea. Kwahiyo sioni ICC kuwa ndiyo suluhisho.
Tuchagueviongozi watakaopigania maslahi yetu, ya nchi. Tupate katiba Mya mfumo mpya.Mkuu umeuliza vizuri, machawa yanaona hii ni furaa kwa wananchi kuendelea umizwa.
Wakati wananchi tuko kwenye swali ,tufanye nini.
Napendekeza Serikali ya tz kufikishwa katika mahama ya kimataifa ( ICC) mawakili watuongoze
Achana na mambo ya rais mkuu ,swali kama sie wananchi nini kifanyike ?
Tufanye nini sie kama wananchi , tunaoumizwa ni sie na familia zetu na ndugu zetu , tufanye nini , Rais akiona ipo haja fanya kama mapendekezo yoko ulivyo yatoa its OK, ataki its OK, sie kama wanananchi ambao tumekua yatima ndani ya taifa letu wenyewe tufaye nini?
Uchaguzi bado ,nini kifanyike kwa sasa kwa wananchi tokana na upumbavu huu elewa swaliTuchagueviongozi watakaopigania maslahi yetu, ya nchi. Tupate katiba Mya mfumo mpya.