Nani yupo nyuma ya utekaji na mauaji haya Tanzania? Kauli moja nini kifanyike?

Nani yupo nyuma ya utekaji na mauaji haya Tanzania? Kauli moja nini kifanyike?

HOJA YANGU YA KWANZA KATIKA MAPENDEKEZO ( MJADALA NINI KIFANYIKE)

Mfano mzee aliekua msaidizi wa Mnyika , napendekezwa kuagwa kila mkoa , tz nzima ili kuenzi wazee wetu ambao wamesimamia na kukaa upande wa haki
 
AS LONG AS GARI WATEKAJI WANAJITAMBULISHA KAMA POLISI NA KUTUMIA GARI ZA POLISI BASI NI SAHIHI KUSEMA SERIKALI KUPITIA POLISI INAHUSIKA NA UTEKAJI.
 
So nini kama wananchi kifanyike mkuu?
Ndugu yangu nina watoto wananitegemea. Mambo ya kwenda kutupwa maporini baada ya kudundwa siyataki.

Wa Tz tulishatiwa uoga toka enzi na enzi na huo ndio mtaji wa watesi wetu. Kubwa ni kuomba Mungu yasikukute tu.
 
Kuwa mwanasiasa ni hatari na risk sana bongo. Alale kwa amani.
 
Yule kiongozi wa Bukoba, Nape kwa kauli yake kule Mtama, DC wa Longido
Huu sio mda kunyosha kidole kwa mtu , hali ni mbaya ,jibu nini kifanyike kwa wananchi( suluhu kwa wananchi)
 
Kwani haya yanayofanyika ndio yanamuondoa magu kwenye unyama aliofanya? Au kwakuwa yeye hayupo basi mbegu aliyopanda haiwezi kuota?
Inaotaje wakati kipenzi chenu Mama yenu kafanya 4R,na viongozi wote walikuwa karibu na magufuli waliondolewa, Sasa vilio vya nini wakati mko kwenye 4R na dharimu aliondoka na udharimu wake?tulieni hivo hivo 4R iko kazini.
 
Huwa bado nawaza sana balozi Simoni Sirro enzi akiwa IGP aliwahi kusema kuwa Polisi wana ushahidi kamili kuhusu mashitaka dhidi ya Freeman Mbowe katika kesi yake ya 'ugaidi' iliyokuwa inahusisha pia utekaji na mipango ya mauaji kwa viongozi mbalimbali wa kisiasa na tuliona kina Kingai wakienfa mahakamani kutoa matokeo ya upelelezi wao, ambapo mahakama ilimkuta Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu; mara ghafla bin vuu tukaona DPP amesita kuendelea na kesi, Mbowe akatoka jela yeye na washtakiwa wenzake, siku hiyo hiyo akaenda Ikulu kuonana na Samia, mara ghafla tukaambiwa maridhiano, Kisha IGP Sirro anatolewa U-IGP na kuteuliwa kuwa balozi Zimbabwe;....
 
Serikali ya Tanzania ifikishwe kwenye mahakama ya kimataifa namanisha
Rais na makam
Waziri mkuu
Waziri wa ulinzi / waziri wambo ya ndani
IGp / Rpc wote tz
Mkurugenzi wa TISS

HAIWEZEKANI BWANA
 
Huwa bado nawaza sana balozi Simoni Sirro enzi akiwa IGP aliwahi kusema kuwa Polisi wana ushahidi kamili kuhusu mashitaka dhidi ya Freeman Mbowe katika kesi yake ya 'ugaidi' iliyokuwa inahusisha pia utekaji na mipango ya mauaji kwa viongozi mbalimbali wa kisiasa na tuliona kina Kingai wakienfa mahakamani kutoa matokeo ya upelelezi wao, ambapo mahakama ilimkuta Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu; mara ghafla bin vuu tukaona DPP amesita kuendelea na kesi, Mbowe akatoka jela yeye na washtakiwa wenzake, siku hiyo hiyo akaenda Ikulu kuonana na Samia, mara ghafla tukaambiwa maridhiano, Kisha IGP Sirro anatolewa U-IGP na kuteuliwa kuwa balozi Zimbabwe;....
Hoja yako nini ,fuata kichwa cha mada hapo juu , maneno yko mengi ila sio sehem ya mjadala
 
Huu sio mda kunyosha kidole kwa mtu , hali ni mbaya ,jibu nini kifanyike kwa wananchi( suluhu kwa wananchi)
Hao si walisimama hadharani wakatamka wazi kuwa watawashughulikia?
 
Inaotaje wakati kipenzi chenu Mama yenu kafanya 4R,na viongozi wote walikuwa karibu na magufuli waliondolewa, Sasa vilio vya nini wakati mko kwenye 4R na dharimu aliondoka na udharimu wake?tulieni hivo hivo 4R iko kazini.
Tafuta popote niliposifia ule utapeli wa hizo 4r. Kwangu ule ulikuwa utapeli kama utapeli mwingine. Na bado hali hii haibadilishi kuwa awamu ya tano tulikuwa chini ya utawala wa shetani.
 
Wewe ndiye mpumbavu no moja,unayelazimisha wote tufanane kufikiri kama nyumbu kama uko Chadema maana hakili zenu zimeshikiliwa na mbowe na Lissu,Mbowe analolisema nyumbu wote mnalifuata bila kujali lina hathali zake katika jamii,hao hao Mbowe na Lissu ndio waliokuwa wanawaminisha wanachama wa Chadema kuwa magufuli ndiye alikuwa mbaya wao,na ndio aliyekuwa anamiliki magenge ya utekaji na nyumbu wote wakajaa kwenye mfumo wa Mbowe.Sasahivi magufuli hayupo wanakosa cha kuongea maana maneno yote walisha maliza,ndio maana tunasema kiongozi lazima uwe na akiba ya maneno,nendeni kwenye meza na Samia mfanye 4R tena,ndicho cha kufanya la sivyo mmekwisha na 4r zenu.
Jifunze kwanza kuandika kwa usahihi, na ukiweka koma ukumbuke kuacha nafasi. Tuhuma za dhalimu magu ziko vilevile bila kubadilika hata nukta moja. Hutaki jinyonge.
 
Tuendelee kusifia anaupiga mwingi mpaka pale watakapopotea wazazi, mtoto, ndugu au mtu wako wa karibu.
 
Back
Top Bottom