Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Hatari sana love
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana love
Wasiomtakia mema mama Samia na serikali yake.Nani yupo nyuma ya ujinga huu na kwa faida ya nani? Malengo yao ni yapi, nini kifanyike ,
Maswali mazuri sana,majibu Sasa kipengere!Nimesoma Taafa mbali mbali kuhusiana na Tukio la mtu alieshushwa ktk Basi na baada siku kadhaa kukutwa ameuwawa.
Ktk kupitia Taarifa hizi Kuna maswali kadhaa nimejiuliza.
1. Ni kina nani wanamiliki Silaha, na Niki na nani wanatembea na Silaha kwa kujiamini hadharani.
2. Walijitambulisha kua wao ni polisi , Swala linaanzia hapa... Gari nyingi za Polisi huwa hazina Prate Number na Pia Polisi huwa wanatabia ya kuvaa kiraia na Bunduki wanabeba wanaweza Vamia popote wakiwa wamevaa kiraia wanajitambulisha "sisi Polisi"
na wanafanya watakalo.
3. Waliopo mshusha ktk Gari/ Busi je Walitumia Barbara kutoka ktk Eneo la tukio, swali Silaha walikua nazo na walisafiri kwa Barbara na kwa kujiamini, Swali la kujiuliza Raia wa kawaida anaweza kutembea na Silaha hadharani na kwa kujiamini.
4. Kwa maelezo niliosoma ktk vyanzo mbali mbali vya habari, Ili tukio ukilitazama kwa kufikilisha akili limetumia kama Dakika 5 Hadi 10. Kwani inaonyesha huyo mtu alifungwa pingu akiwa ktk Busi, pia hao watu walijitambulisha ktk Basi kua wao ni Polisi...mda wa kujitambulisha na mda wa kumfunga pingu.
5. Ktk Bus kulikua na Abiria wangapi ktk hao Abiria lazima Kuna mmoja wapo ambe alikua anamfuatiria huyo, ambae ndo amenaitajika, Swali la kujiuliza, Kuna mtu wanasema alikata tiketi lakini hakutoa Taarifa zake kwa usahihi
Uchunguzi uanzie kwa huyo mtu, ktk kukata tiketi Kuna mfumo wa kuweka namba ya simu. Pia ktk lile busi huyo mtu alikaa na nani, Kuna mfumo wa kuchora picha ya muarifi kwa kupitia maelezo ya shahidi au mtu alieshuhudia tukio.
6. Kama mtu amekamatwa na Polisi akiwa ktk Busi anasafiri, je Wenye Basi wanatakiwa kutoka msaada Gani kwa Abiria wao, Ili Kujua kama amekamatwa na Polisi kweli au Watekaji( Watu wasiojulikana).
7. Swali la msingi inamaana Watekaji( Watu wasiojulikana ni Smart zaidi ktk kutekeleza matukio yao, kiasi serikali hawana uwezo wa kuwatambua). Kwanini serikali wanashidwa kuwatambua Watekaji/ Watu wasiojulikana.
8. Je mbona hao Watekaji ktk kutekeleza majukumu yao ya utekaji hawajawai kumteka mtu hoe hae( Asie na mbele Wala Nyuma) Kuna kitu kimejificha ktk huu utekaji, Hawa Watekaji wanateka kwa Maslai gani.
9. Masaa 24 kabla ya tukio la utekaji, je doria ya Polisi ilikua wapi, na Mfumo wa uliza na usalama wa maeneo jirani na Eneo la tukio Doria walikua ni kina nani na kina nani walikua wanapokea zamu ya Silaha.
10. Gari ilio tumika ni ya aina gani na imetoka mwaka gani.
Kile kiti alichokalia mtuhumiwa na Marafiki zake kifanyiwe uchunguzi.
Mimi Ni Raia ila nimefikilisha tu "AKILI"