4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
- Thread starter
-
- #41
Hivi vinavyoteka watu?Tungoje taarifa rasmi kutoka vyombo vya Usalama
So nini kama wananchi kifanyike mkuu?AS LONG AS GARI WATEKAJI WANAJITAMBULISHA KAMA POLISI NA KUTUMIA GARI ZA POLISI BASI NI SAHIHI KUSEMA SERIKALI KUPITIA POLISI INAHUSIKA NA UTEKAJI.
Ndugu yangu nina watoto wananitegemea. Mambo ya kwenda kutupwa maporini baada ya kudundwa siyataki.So nini kama wananchi kifanyike mkuu?
Huu sio mda kunyosha kidole kwa mtu , hali ni mbaya ,jibu nini kifanyike kwa wananchi( suluhu kwa wananchi)Yule kiongozi wa Bukoba, Nape kwa kauli yake kule Mtama, DC wa Longido
Inaotaje wakati kipenzi chenu Mama yenu kafanya 4R,na viongozi wote walikuwa karibu na magufuli waliondolewa, Sasa vilio vya nini wakati mko kwenye 4R na dharimu aliondoka na udharimu wake?tulieni hivo hivo 4R iko kazini.Kwani haya yanayofanyika ndio yanamuondoa magu kwenye unyama aliofanya? Au kwakuwa yeye hayupo basi mbegu aliyopanda haiwezi kuota?
Hoja yako nini ,fuata kichwa cha mada hapo juu , maneno yko mengi ila sio sehem ya mjadalaHuwa bado nawaza sana balozi Simoni Sirro enzi akiwa IGP aliwahi kusema kuwa Polisi wana ushahidi kamili kuhusu mashitaka dhidi ya Freeman Mbowe katika kesi yake ya 'ugaidi' iliyokuwa inahusisha pia utekaji na mipango ya mauaji kwa viongozi mbalimbali wa kisiasa na tuliona kina Kingai wakienfa mahakamani kutoa matokeo ya upelelezi wao, ambapo mahakama ilimkuta Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu; mara ghafla bin vuu tukaona DPP amesita kuendelea na kesi, Mbowe akatoka jela yeye na washtakiwa wenzake, siku hiyo hiyo akaenda Ikulu kuonana na Samia, mara ghafla tukaambiwa maridhiano, Kisha IGP Sirro anatolewa U-IGP na kuteuliwa kuwa balozi Zimbabwe;....
Nini kifanyike jibu swali kwa mjibu wa hojaNi hatari Mnoo..
Mchana kabisa aisee...
Hao si walisimama hadharani wakatamka wazi kuwa watawashughulikia?Huu sio mda kunyosha kidole kwa mtu , hali ni mbaya ,jibu nini kifanyike kwa wananchi( suluhu kwa wananchi)
Hapa hoja ipo kwetu kama wananchi nini kifanyike jibu ,sio mda wa lawamaHao si walisimama hadharani wakatamka wazi kuwa watawashughulikia?
Sijui kwakweli...Nini kifanyike jibu swali kwa mjibu wa hoja
Tafuta popote niliposifia ule utapeli wa hizo 4r. Kwangu ule ulikuwa utapeli kama utapeli mwingine. Na bado hali hii haibadilishi kuwa awamu ya tano tulikuwa chini ya utawala wa shetani.Inaotaje wakati kipenzi chenu Mama yenu kafanya 4R,na viongozi wote walikuwa karibu na magufuli waliondolewa, Sasa vilio vya nini wakati mko kwenye 4R na dharimu aliondoka na udharimu wake?tulieni hivo hivo 4R iko kazini.
Jifunze kwanza kuandika kwa usahihi, na ukiweka koma ukumbuke kuacha nafasi. Tuhuma za dhalimu magu ziko vilevile bila kubadilika hata nukta moja. Hutaki jinyonge.Wewe ndiye mpumbavu no moja,unayelazimisha wote tufanane kufikiri kama nyumbu kama uko Chadema maana hakili zenu zimeshikiliwa na mbowe na Lissu,Mbowe analolisema nyumbu wote mnalifuata bila kujali lina hathali zake katika jamii,hao hao Mbowe na Lissu ndio waliokuwa wanawaminisha wanachama wa Chadema kuwa magufuli ndiye alikuwa mbaya wao,na ndio aliyekuwa anamiliki magenge ya utekaji na nyumbu wote wakajaa kwenye mfumo wa Mbowe.Sasahivi magufuli hayupo wanakosa cha kuongea maana maneno yote walisha maliza,ndio maana tunasema kiongozi lazima uwe na akiba ya maneno,nendeni kwenye meza na Samia mfanye 4R tena,ndicho cha kufanya la sivyo mmekwisha na 4r zenu.