Nani yupo nyuma ya vuguvugu la kuvunja Muungano

Ukiona hakuna viongozi wa juu wanakemea ujue nani yupo nyuma. Hata viongozi wa kati wamenyamaza kwa sababu hawajui nani kawatuma
 
Hii kete inasukumwa kutoka mahali pa juu kabisa katika hirach za uongozi

Haiwezekani watu wajiamulie kutumia majumba ya kutunga sheria kuongea hoja za kugawanya vilivyounganishwa kirahisirahisi tu namna hii bila kupata baraka za juu

Kwanza umesikia mkubwa yoyote akiwakemea? Wanaojifanya kuliongelea wamekazana "kufafanua" kauli zilizosemwa na "wadogo kicheo" ambazo kimsingi hazifafanuliki
 

Umeongea kikubwa sana safi ✅️

lkn tunatakiwa kuwa makini na
michadema yenyewe yanaenda aja kubwa kupitia kodi za w Marekani ✅️
 
Tuishi humu Tutapata summary ya discussion nzima

Upumbavu mtupu . Matatizo yote yameletwa na hili chaka la Uvamizi linaloitwa muungano. Wakati Zanzibar imekuwa masikini wa kutupwa kwa kutawaliwa na Tanganyika , nyinyi mnatuletea pumba?
 
Afunguliwe mashtaka kama uongo .
Mnasubiri nini ?
 
Tuishi humu Tutapata summary ya discussion nzima
Kwamba kutojadili kutashusha bei ya unga au wamemaanisha nini hebu nielewesheni

Haya niyaleyale ya katiba, kuwa katiba haileti msosi mezani watawala wawasikilize wananchi waache hizi porojo
 
Huu ni uongo na uzushi wa Wabara walioko Zanzibar. Tukio hili lilikuja baada ya kuiba kwenye kampuni ya ujenzi na katika kuchukua tahadhari wenye kampuni wakawataka kuwa na kitambulisho - iwe NIDA, ZanID, paspoti, kadi ya mpiga kura au kitambulisho rasmi chochote ili waingie kazini. Huyo anayesema hayo anatia fitina. Vizuri hilo limetolewa ufafanuzi na maelezo. Hata wewe haitokusaidia kuiweka hapo. Wanaotoka kuelewa wameelewa. Kwenye muungano, pamoja kwamba siupendi, hakuna tatizo. Tulia mkuu.
 
Hakuna Cha aliyeko nyuma Wala mbele. Zanzibar wanajua athari zaoja kwa moja watakazozipata baada ya kuvunja muungano.

Nb:Wale mawaziri wao walipitiwa tu wasameheni
Hakuna anayetaka kuvunja muungano
sio CUF wala ACT
Wanasema muungano tulokwa nawo unakasoro nyingi tuzirekebishe.

Kunawatu katika system wanataka nchi moja kuuwa zanzibar kama inavyotakiwa kuuliwa Palestine.
Wazanzibari hilo hwalikubaki, wanataka Zanzibar ibaki.
Sasa kama Tanganyika irudi na Tanzania ibaki ,hapo sawa.

Lakini moja tu mjuwe nani aloleta Munngano Sio Nyerere

Wakubwa wadunia :
Marekani na Uingereza na wenzao. kama hawo wapo tayari Zanzibar iwe huru basi hilo
litakuwa leo kabla ya kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…