CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Jambo lingine linalogambanisha ni Ukiritimba wa CCM na kutumia vyombo vya dola kuteka, kutesa, kupoteza na kuua wapinzani, yaani CCM inawachukulia Wapinzani hasa Chadema kama wahamiaji haramu. Chaguzi zisizo huru na za haki ni mwiba mwingine unaoweza hata kuleta vita ya wenyewe kwa wenyewe.Baada ya October 29 niligundua weakest point ya Tanzania ni muungano.
Watanganyika hawawezi kugombana kisa Dini au kabila, ila muungano una gape la utaifa wa Zanzibar
CCM mlikuwa mnawaita Waandamanaji hawana mbinu. Mkasahau kizazi chao kina AI na AI imetumika katika vita huko Iran
Baada ya October 29 niligundua weakest point ya Tanzania ni muungano.
Watanganyika hawawezi kugombana kisa Dini au kabila, ila muungano una gape la utaifa wa Zanzibar
Akina maria sarungi,hilder Newton na huyo mpuuzi wa TLS matamshi yao ni Tanganyika Zanzibar Tanganyika Zanzibar,sijui wanadhani muungano ukivunjika hakuna waislam Tanganyika!
Leo umeandika mkojo wa punda mkuu hii mada umeandika kwa ufupi sana wakati ni mada ndefu saana yaan kichwa cha mada tu ni kirefu kuzidi mada yenyewe
Hawa wanaonyanyapaa Watanganyika hapa ni Chadema?Wanaharakati na chadema,umebahatika kuona video ikimuonesha rais wa TLS àkihubiri chuki za utanganyika na uzanzibar akimshutumu ssh kuchukua mali za 'watanganyika' kuipa Zanzibar?..ukristo na wakristo nchi hii ni janga,naqba,nakama,laana.. tangu Julius
Hii ni kwa ujumla wake ila at national security level ni rahisi kuchochea sentiments za muunganoWeakest point ya Watanzania kukosa strong families.
Hiyo inapelekea wenye familia imara kuwanyanyasa wasio na familia imara.
Fikiria mtoto wako anatekwa hapo na bado utasema huna chochote chakufanya wewe kama wewe.
Wote wabarikiwe na muungano uvunjike kweli.
Karata zinasukumwa kitaalamu sana.
Acha inyeshe, tutaona tu panapovuja.
Wanaharakati na chadema,umebahatika kuona video ikimuonesha rais wa TLS àkihubiri chuki za utanganyika na uzanzibar akimshutumu ssh kuchukua mali za 'watanganyika' kuipa Zanzibar?..ukristo na wakristo nchi hii ni janga,naqba,nakama,laana.. tangu Julius
Akina maria sarungi,hilder Newton na huyo mpuuzi wa TLS matamshi yao ni Tanganyika Zanzibar Tanganyika Zanzibar,sijui wanadhani muungano ukivunjika hakuna waislam Tanganyika!
Wazanzibar wote hawautaki muungano Hadi Samia mwenyewe hautaki
Hamjambo!
Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano.
Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo?
Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika?
Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo na hayatajwi tajwi kwenye Media.
Na Wafanyabiashara. Wanaohitaji kuunda mfumo mwingine. Huku Muungano ukiwa kizuizi cha mfumo huo mpya.
Wananchi wao sio wanufaika wala sio wapata hasara. Muungano uwepo usiwepo kwao mambo ni yaleyale.
Swali linabaki ni kina nani?
Ijumaa Kareem
Muungano ni swala la muda tu, Na walio nyuma ya Kuuvunja Mi wale wale walio uasisi.
Hawa wajinga sana kila kitu lazima wasingizie Chadema, hata wakishindwa kuwapa mimba wake zao mchawi Chadema.Kwanini mnawasingizia chadema?
Zile kauli nyingine za wabunge wa Zanzibar mbona hujazizhngumzia?
Msukuma hayuko sawa?
UISLAMU NI DINI YA HAKI
Ukiuangalia muungano una haki na usawa pande zote?View attachment 3611079
Kuna ushahidi mwingi sana ambao tutauweka hapa ila sio kwa sasa na ushahidi huu unaonyesha asilimia 100 mwenye kutaka kuvunja Muungano ni Samia mwenyewe ndio kiongozi wa haya yote.
1.Mikataba yote alioingia na waarabu ukichingulia kwa undani sio waarabu bali ni yeye mwenyewe hayo makampuni ana share zake na hela nyingi itakuwa inaenda Zanzibar
2. Kila mkataba alioingia na makampuni ya nje kuna asilimia ya malipo yatakuwa yanainufaisha Zanzibar .
3.Mojawapo ya kitegauchumi kikuu ni bandari ya Dar mapato mengi yataenda Zanzibar
4. Kama mnavyojua kwa sasa nafasi zote zile zinazohitaji maamzi zimeshikiliwa na wazenji ili iwe rahisi kufanikisha mikataba fake, mfano mnadhimu mkuu wa JWTZ, yule mama BOT , wizara ya mambo ya nje,Wizara ya fedha na sehemu zingine nyeti ambazo kwa sasa wacha tukae kimya.
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimeamua kuiuza nchi yetu nzuri tuliobarikiwa na Mungu sijui kwa nini😢😢😢 ila wakati waja endelea na wewe mda mwingine kuwa mnafiki wa kuiua nchi yako
Maana siku zile 29 octoba uliongoza kwa maandiko ya kukashifu maandano naona umerudi tena kwa kasi endeleeni ila mda upo njiani tutawajibishana
Hata muungano ukivunjika Zenji itabaki kuwa Single Maza tu Imeshapigwa mimba ya mchanganyiko na watu wa Bara miaka 60.!Ni Sawa na Mke ambaye akiwa bado anakutegemea anakuheeshimu na anataka niendelee kuwa pamoja, baadae akipata fedha zake ambazo umemjenga anaanza kuona huna faida
Hakuna wa kuvunja muungano. Inaonekana kuna watu wanahofia 2030 kuwa huenda yule wa kule akaletwa huku
Wa huku si wa kule ila wa kule ni wa hukuSasa kuna shida gani wa kule akija huku au huyuhuyu akiendelea. Sheria si zinamruhusu?