Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Chama hajawahi kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa Ligi?Yaani Chama anayecheza taratibu kama konokono ukamfananishe na mchezaji aliye twaa tuzo ya mchezaji Bora kwenye ligi ya Ivory coast!! Kwa hakika Tanzania Kuna vituko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kuna watu wepesi kusahau. alikung'utwa pumzi ya moto akabaki kukenua tuAzizi Ki alikula nne hapo Taifa. Na alishindwa kuisaidia Team yake kuvuka Makundi. Ngoja tuone kwa Yanga mwaka huu
Mkuu huwa nakuheshimu sanaAziz ni mataqo tu kwa Chama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfupa Hauna ulimiMkuu huwa nakuheshimu sana
Wewe ni mmoja wa member nimefuatilia threads zako nyingi nikatambua upo smart kichwani
Sasa mbona maneno ya vijiweni yanakuharibu
Ushahidi pleaseHakuna mchezaji au kiongozi yoyote wa Simba asiyejua K Aziz ni nani, Barbara alipiga magoti na kulia apate Saini yake ikashindikana.
Manula aligomea mchezo na Yanga kisa Azizz K.