curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,618
Be specific mdau,unataka Landcruza model ipi na Nissan patrol model ipi?Salamu sana ziwafikie wapendwa wana JF
Naomba kujuzwa japo kwa undani Kati ya haya magari mawili na sifa zake TOYOTA LAND CRUISER vs NISSAN PATROL
aksante.
Mkuu...Habari za muda wapenzi wa magari ya kazi?
Nami pia nataka kujua kwa uzoefu wenu na yale mliyoshuhudia, kati ya Nissan Patrol na Toyota Landcruiser ipi ina perfomance ya hali ya juu off road na on the smooth road?
Nafikiria kununua mojawapo ya magari hayo mawili. Vipi kuhusu drifting, utelezi, nguvu, speed, na kudumu?
Nimepitia youtube nikaangalia mambo machache sijapata jibu, nataka hasa waliokuwa nalo barabarani:
Kuanzia 2005 hadi 2011 hivi...Mkuu...
Unahitaji za mwaka gani?
Anyway... Mimi ningekushauri kama ni model ya kuanzia 2013 chukua Infinity QX80(Hii ni luxury brand ya Nissan)
Lakini kama ni below 2013,chukua Kilimo kwanza(Land Cruiser)
Hiyo infinity, kwa mafuta yake ya kibaba ataiweza? Ile gari ina engine ya Petrol na ina cc5600, V8! Bora Patrol engine yake ni ya Diesel...Mkuu...
Unahitaji za mwaka gani?
Anyway... Mimi ningekushauri kama ni model ya kuanzia 2013 chukua Infinity QX80(Hii ni luxury brand ya Nissan)
Lakini kama ni below 2013,chukua Kilimo kwanza(Land Cruiser)
Chukua PatrolKuanzia 2005 hadi 2011 hivi...
Salamu sana ziwafikie wapendwa wana JF
Naomba kujuzwa japo kwa undani Kati ya haya magari mawili na sifa zake TOYOTA LAND CRUISER vs NISSAN PATROL
aksante.
ilo Jembe ni 24V na ni 4.2CC liko stable sana barabarani yaano off road unaweza piga drifting na halinyanyuki na speed ya kufa mtu, ila lina meza mafuta aisee...Chukua usafiri huu Mkuu hutojutia fedha yako [HASHTAG]#Nissan[/HASHTAG] Safari King of Road
Shikamoo NissanIsee nissan ni kitu kingine kabisa kuna hii engine nissan patrol nismoView attachment 537400View attachment 537401
ukinigusa tu road wahi police mwenyewe maana utauza yako kurekebesha mzigo
Madereva wana akili , wakionaga mashina kama hizo huwa hawakulupuki wanajua mziki wake 😃😃ukinigusa tu road wahi police mwenyewe maana utauza yako kurekebesha mzigo