Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Hiyo Land cruiser ina nini cha ajabu...[emoji28][emoji28]?...ina uke au uume..? .[emoji28][emoji28]Land Cruiser imekuwa ni ya kulinganishwa na Nissan Patrol,kweli?
Basi tu ni gari lililotokea kukubalika na taasisi za serikali......Gari kukubalika bongo haina maana kuwa ndiyo gari bora zaidi ya mengine..
Fuatilia reviews za watu wa Australia na Jangwa la uarabuni utaona hizo Patrol zinavyokubalika..