TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
-RANGE ---LANDTOYOTA RANGE CRUISER ndio kila kitu,huwezi kufananisha na nissan patrol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-RANGE ---LANDTOYOTA RANGE CRUISER ndio kila kitu,huwezi kufananisha na nissan patrol
Nissan zinapendwa uarabuni kwa sababu ya urahisi wa kufanya tunning mkuu. Japo ni magari yanayokaribiana kwa mambo mengi sana ila cruiser inafanya poa zaidi off road. Kuna video ya YouTube pale juu iangalie, ni comparison nzuri sana ya hayo magari mawiliHiyo Land cruiser ina nini cha ajabu...[emoji28][emoji28]?...ina uke au uume..? .[emoji28][emoji28]
Basi tu ni gari lililotokea kukubalika na taasisi za serikali......Gari kukubalika bongo haina maana kuwa ndiyo gari bora zaidi ya mengine..
Fuatilia reviews za watu wa Australia na Jangwa la uarabuni utaona hizo Patrol zinavyokubalika..
VX V8, VXR V8 na New Nissan Patrol V8 ni sawasawa kabisa. Nissan Patrol V8 inatechnology kali sana. Kwa hiyo ni halali kabisa kulinganisha na VXRLand Cruiser imekuwa ni ya kulinganishwa na Nissan Patrol,kweli?
Merry Christmas Mkuu,Mfano patrol y60 na LC 80 series ipi matata zaidi?!
Mkuu Nissan Patrol zinazofanya vizuri Uarabuni ni zile zote zenye injini za petrol ambazo ni TB45 na TB48 zipo kwenye Nissan Patrol Y60 na Y61. Zinafanyiwa tunning na zinafika hp kubwa sana, Kwa rekodi kuna injini ya TB48 walifikisha 2000hp.Nissan zinapendwa uarabuni kwa sababu ya urahisi wa kufanya tunning mkuu. Japo ni magari yanayokaribiana kwa mambo mengi sana ila cruiser inafanya poa zaidi off road. Kuna video ya YouTube pale juu iangalie, ni comparison nzuri sana ya hayo magari mawili
Salamu sana ziwafikie wapendwa wana JF
Naomba kujuzwa japo kwa undani Kati ya haya magari mawili na sifa zake TOYOTA LAND CRUISER vs NISSAN PATROL
aksante.
Sio lazima nifanye kila mimi.azisha na ww kampuni ya Bima tutaku'saport
Howo, Yutong, Zhongton ni gari za muda mfupi. Hizo gari huwezi tumia miaka 10 ikakupa performance ileile.Hujawah toka nje ya dar nn? Manake mfano wako unatolea serikal tu, ingia arusha, singida , tabora mwanza , shinyanga , geita katav uone Land cruiser zilivyojaa za watu binafsi , kampun na mashirika binafsi , kigezo ni performance na sii vinginevyo
Mfano ulio Hai , imekuaje Howo wakaweza penetrate kwenye soko lililo tawalia na mswiden na mjeruman?? Kaleta kitu kina performance nzuri, watu hawakuangalia upatikanaj wa spear , ni performance mzee baba
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Nje ya MadaHowo, Yutong, Zhongton ni gari za muda mfupi. Hizo gari huwezi tumia miaka 10 ikakupa performance ileile.
Msweden unatumia mpaka mjukuu wako. Angalia gari za Kilimanjaro, zile Andare, zipo namba A ila mpya kabisa.
Tafuta michina ya miaka 5 nyuma.
InasikitishaUnfortunately, sikai Dar...[emoji4][emoji4]
Why...?
Market penetration kwasababu ni bei chee.Nje ya Mada
Market Penetration vs durability/ reliable ni vitu tofaut kabisa
Mbwembwe zote tunamjadili mjapani.Tafuteni namna tujenge inchiwakala wako wa bima anakuuliza kwahio umegonga nissan amarda kwa kutumia Carina TI?
Gari zingine unakaa nazo mbali kidogo