Nani zaidi kati ya Toyota land cruiser vs Nissan patrol

Nani zaidi kati ya Toyota land cruiser vs Nissan patrol

zote ni gari nzuri ila kwa upatikanaji wa spare za land cruiser ni simple coz zipo nyingii wakati nisan spare zinasumbua kwa kiasi flani ila ni gari ngumu zote kwa matumizi ya porini na nyumbani piaa
 
Back
Top Bottom