Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Hiyo Land cruiser ina nini cha ajabu...[emoji28][emoji28]?...ina uke au uume..? .[emoji28][emoji28]Land Cruiser imekuwa ni ya kulinganishwa na Nissan Patrol,kweli?
Don't be too generic....sometimes be specific..Nissan Patrol haikamati Toyota Land cruiser (experience mkuu).
Kwani huku kwetu kuna jangwa?Hiyo Land cruiser ina nini cha ajabu...[emoji28][emoji28]?...ina uke au uume..? .[emoji28][emoji28]
Basi tu ni gari lililotokea kukubalika na taasisi za serikali......Gari kukubalika bongo haina maana kuwa ndiyo gari bora zaidi ya mengine..
Fuatilia reviews za watu wa Australia na Jangwa la uarabuni utaona hizo Patrol zinavyokubalika..
Toa maoni yako mkuu.Hiyo Land cruiser ina nini cha ajabu...[emoji28][emoji28]?...ina uke au uume..? .[emoji28][emoji28]
Basi tu ni gari lililotokea kukubalika na taasisi za serikali......Gari kukubalika bongo haina maana kuwa ndiyo gari bora zaidi ya mengine..
Fuatilia reviews za watu wa Australia na Jangwa la uarabuni utaona hizo Patrol zinavyokubalika..
Sasa mkuu gari linalofanya vizuri kwenye mvhanga wa Jangwani, litashindwa hizi barabara zetu za uchumi wa kati..?[emoji38][emoji38][emoji38]
Shida ni nini?Don't be too generic....sometimes be specific..
Kuna LC zinaizidi Patrol na kuna Patrol zinazozidi LC.....hapo inategemea hizo gari zote ni za mwaka gani na zina injini gani.....[emoji38][emoji38][emoji38]
Maoni ni kwamba LC inachoizidi Patrol kwa hapa Bongo ni upatikanaji wa vipuri na ukitaka kuliuza litauzika haraka...nothing more..Toa maoni yako mkuu.
Mimi maoni yangu Toyota Land cruiser ipo. Mambo ya kuwa uke ama uume umeyatoa wapi? Maturity came late?
Maoni ni kwamba LC inachoizidi Patrol kwa hapa Bongo ni upatikanaji wa vipuri na ukitaka kuliuza litauzika haraka...nothing more..
Na unapofananisha gari ili kuwa na fair comparison, chukua gari za mwaka mmoja...
Siyo mtu anazungumzia LC ya mwaka 2019 anaifananisha na Patrol Y60....hapo kuna usawa kweli..?
Merry Christmas and happy new year,Sir..[emoji512][emoji483][emoji477]️[emoji478][emoji898][emoji898]Ndio nimesema, Wewe pia tiririka maoni yako. Jisikie huru kufunguka. Sidhani kuna mchangiaji humu JF amekuzuia kufanya comparative analysis ya kiwango chako. Hivyo funguka, jiachie uwe na Amani.
Mimi mistari miwili ama mitatu inatosha sana.
Merry Christmas and happy new year,Sir..[emoji512][emoji483][emoji477]️[emoji478][emoji898][emoji898]
Ndio maana huku kwetu ziko kwa idadi hiyo iliyopo , zingekua zina better performance lazima tu zingekua nyingiSasa mkuu gari linalofanya vizuri kwenye mvhanga wa Jangwani, litashindwa hizi barabara zetu za uchumi wa kati..?[emoji38][emoji38][emoji38]
Tuwe basi serious kidogo kwenye mada ambazo ni serious..[emoji28]
Mfano patrol y60 na LC 80 series ipi matata zaidi?!Maoni ni kwamba LC inachoizidi Patrol kwa hapa Bongo ni upatikanaji wa vipuri na ukitaka kuliuza litauzika haraka...nothing more..
Na unapofananisha gari ili kuwa na fair comparison, chukua gari za mwaka mmoja...
Siyo mtu anazungumzia LC ya mwaka 2019 anaifananisha na Patrol Y60....hapo kuna usawa kweli..?
Ndinga nzuriiiiih.Isee nissan ni kitu kingine kabisa kuna hii engine nissan patrol nismoView attachment 537400View attachment 537401
Hapana land cruiser nadhani sio swala la vipuri tuu hizo gari ni ngumu mno Nissan ni moja ya gari ngumu pia ila Toyota hao kwa matoleo mengi ni balaa sizungumzii kilimo Kwanza hili kwangu sio gari gumu na engine yake pia nyanya sanazote ni gari nzuri ila kwa upatikanaji wa spare za land cruiser ni simple coz zipo nyingii wakati nisan spare zinasumbua kwa kiasi flani ila ni gari ngumu zote kwa matumizi ya porini na nyumbani pp
Sawa mkuu ila kuwa chache haina maana kwamba performance yake ni ndogo.......Ndio maana huku kwetu ziko kwa idadi hiyo iliyopo , zingekua zina better performance lazima tu zingekua nyingi
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Hujawah toka nje ya dar nn? Manake mfano wako unatolea serikal tu, ingia arusha, singida , tabora mwanza , shinyanga , geita katav uone Land cruiser zilivyojaa za watu binafsi , kampun na mashirika binafsi , kigezo ni performance na sii vinginevyoSawa mkuu ila kuwa chache haina maana kwamba performance yake ni ndogo.......
Ukweli ni kwamba brand ya Toyota imetokea kupendwa zaidi Tanzania kuliko hizo Nissan...
Na sisi watu tuna mentality kwamba serikali ikinunua kitu, basi hcho kitu ni bora kuliko vyote...
kwa mfano sasa hivi kuna magari flani ya China ni SuV yanatumika sana na polisi.....kesho kutwa tu usishangae watu wakisema hayo magari ni bora kuliko LC kisa tu serikali inayamiliki...
Mwisho tukubali tu kuwa ukuzungumzia 4X4 za maana kutoka Japan, huwezi kukwepa LC na Patrol.
Unfortunately, sikai Dar...[emoji4][emoji4]Hujawah toka nje ya dar nn? Manake mfano wako unatolea serikal tu, ingia arusha, singida , tabora mwanza , shinyanga , geita katav uone Land cruiser zilivyojaa za watu binafsi , kampun na mashirika binafsi , kigezo ni performance na sii vinginevyo
Mfano ulio Hai , imekuaje Howo wakaweza penetrate kwenye soko lililo tawalia na mswiden na mjeruman?? Kaleta kitu kina performance nzuri, watu hawakuangalia upatikanaj wa spear , ni performance mzee baba
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Jangwani hupajui ?