Nani zaidi kati ya Toyota land cruiser vs Nissan patrol

kuna jamaa anayo hiyo toyota range cruiser mzee,ni balaa,nissan patrol haioni ndani wakuu
 
Fundi mmoja hapaa anasema durability ya Nissan Toyota wakasome, issue inakuja kwenye upatikanaji wa spea, kwamba wauzaji sio wengi ila tofauti na hapo kama mtu utapenda gari lenye Latest Tech basi Nisaan itakua chaguo
 
Bima ya Carina ndo itengeneze hiyo Armada.
Au bima ya Armada(comprehensive cover) itatengeneza hio Armada! Sijui wabongo wanakwama wapi wakigongana wanakimbilia kupigana ngumi ,mara kulipana.
Ukigonga gari ukiona damage kubwa(kama una comprehensive cover hata uwe na Vitz) mwambie tusubiri traffic police apime,nenda mahakamani (na unaweza usiende) bima watalipa.
 
Fundi mmoja hapaa anasema durability ya Nissan Toyota wakasome, issue inakuja kwenye upatikanaji wa spea, kwamba wauzaji sio wengi ila tofauti na hapo kama mtu utapenda gari lenye Latest Tech basi Nisaan itakua chaguo
Chukua Nissan Patrol ya 2018 na Landcruiser V8 ya 2018 tukazitie kwenye maji kama hivyo halafu uone shughuli yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama hujawamaliza mafundi wa OBD scanner mjini na Nissan Patrol yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…