Wema huwa nakupenda kweli kweli ila sina jinsi na matabia yako wanasema mtoto wako akijisaidia kwenye kiganja huwezi kukikata zaidi utasafisha
sasa na nyie wazazi wa hawa watoto vichwa ngumu muache kuingilia mapenzi yao muwaacha wavuragane wee siku wakitulia tuombe mungu ngoma iwe haijawatembelea
kwanza hawana adabu na nyie wazazi kila siku mnakubali kupokea ma bf/ma gf wa kila namna
sisi labda tulikuwa washamba mzazi amjue boyfriend wako hilo ni janga
mpaka tulipokuja kutambulisha wachumba na kutengeneza family
hawa wenzetu kila siku new face
Wema-jumbe ,chals baba,daimond platnum,kanumba rip,chals baba ,ck project bado inaendelea ......wote mama wema anawajua
Daimond- wema ,jokate ,penny ,uwoya ,zari,rehema fabian,wolper,upendo m,natasha,anti ezekiel na najma ooh mama..project bado inaendelea