Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Amfilisi ninii???
si bilionea naseeb ila jamani ukute wala hadate nae au ile one night stand
baas wabongo kwa kucomplicate mambo ndo wanayakuza kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amfilisi ninii???
si bilionea naseeb ila jamani ukute wala hadate nae au ile one night stand
baas wabongo kwa kucomplicate mambo ndo wanayakuza kweli
Mbona jana asubuhi aliweka picha zake na Zari?au team wema walimvamia nini?yaani katuwezaje jamani
jaman hat mm tang jana nashndwa kuingia huko yan nilikuwa na hamu na maubuyu ya huko..ila maybe ms manongi yuko busy na shost ake zari plus kunyonyesha mtoto
sanaa tu mana wengne kule ndo tunaondolea stress
anajishaua sinta we muache kudode
Yaani siku yangu leo ni ndefu si aachie blogu hio bibi kirisitina
Sijui ile misukule yake ina hali gani leo..
Uwiiiii kumbe tuko wengi hivi?sijui niende kwa mange?tatizo kule wanajishaua sana
I quote;
1."They say it's real if it come back. ... I say it's real if it never left"
2. "You 'll neva understand until it happens to you"
hahaha...yan hali zao zitakuwa mbaya,ndito na polisi jamii wananiuwaga hataree
aliyesema hivi nani mine nataka nijue kwanz
hahaha...yan hali zao zitakuwa mbaya,ndito na polisi jamii wananiuwaga hataree
daimond platnum
Yaan unalinganisha Wema na Zariii, ,,,hebu tafuta mwingine tulinganishe na Zari banaaa
Hahahaaa yani wew