Nani zaidi kati ya Wema au Zari?

Nani zaidi kati ya Wema au Zari?

si bilionea naseeb ila jamani ukute wala hadate nae au ile one night stand
baas wabongo kwa kucomplicate mambo ndo wanayakuza kweli

Km alikula papuch, Dimondi hawezi kumwacha. ..
 
si bilionea naseeb ila jamani ukute wala hadate nae au ile one night stand
baas wabongo kwa kucomplicate mambo ndo wanayakuza kweli

Kwa kuhonga Dai hapo amemkosa labda amhonge dai I swear
 
jaman hat mm tang jana nashndwa kuingia huko yan nilikuwa na hamu na maubuyu ya huko..ila maybe ms manongi yuko busy na shost ake zari plus kunyonyesha mtoto

anajishaua sinta we muache kudode
 
Uwiiiii kumbe tuko wengi hivi?sijui niende kwa mange?tatizo kule wanajishaua sana

Kwa Mange wanakoment huku wanamuogopa japo niliona kwa topic ya zari wamemchambua kidogoo, ,kitu kwa sintah ni shidaaaaaaa
 
Wema huwa nakupenda kweli kweli ila sina jinsi na matabia yako wanasema mtoto wako akijisaidia kwenye kiganja huwezi kukikata zaidi utasafisha

sasa na nyie wazazi wa hawa watoto vichwa ngumu muache kuingilia mapenzi yao muwaacha wavuragane wee siku wakitulia tuombe mungu ngoma iwe haijawatembelea

kwanza hawana adabu na nyie wazazi kila siku mnakubali kupokea ma bf/ma gf wa kila namna

sisi labda tulikuwa washamba mzazi amjue boyfriend wako hilo ni janga
mpaka tulipokuja kutambulisha wachumba na kutengeneza family

hawa wenzetu kila siku new face
Wema-jumbe ,chals baba,daimond platnum,kanumba rip,chals baba ,ck project bado inaendelea ......wote mama wema anawajua

Daimond- wema ,jokate ,penny ,uwoya ,zari,rehema fabian,wolper,upendo m,natasha,anti ezekiel na najma ooh mama..project bado inaendelea
 
Back
Top Bottom