kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Yanga Tuna Tatizo?
Siku 10 Zimekatika toka hii changamoto ya NANI ZAIDI izinduliwe,Wenzetu Wamefikisha kura Zaidi Elfu mia moja sisi Yanga tupo Forty thousands hivi mpaka sasa, na Hapo Mashabiki wao ndo wapo dissappointed kwa Kuelekea kutokuwa Bingwa msimu huu.
Je Wangekuwa wanaenda kutwaa Ubingwa Si ndo Wangetuacha mbali Zaidi ya Hapa..!
Ndo Swali linakuja Yanga Mashabiki tupo sawa kweli.? Fursa Ya Wazi kwetu Kuonyesha tupo Lkn ndo fursa hiyo inatuvua nguo na aibu juu.