Michezo ya kitoto mlianzaje kushiriki?
Nyie si mnajiita timu ya wananchi, nguvu yenu iko wapi sasa mbona kapu halina kitu mpaka muda huu?
Mi nilitegemea nyinyi mngekuwa kinara maradufu, kwanza mna experience ya kuchangia (kile kipindi cha kutembeza bakuli)
Pili nyinyi ndio club ambayo mnajinadi kuwa na mashabiki wengi siku zote na kuwa hata uwanjani huwa mnaongoza nyie kujaa
Kwa hiyo niamini kauli ya eze kumwaga kuwa mechi ambazo mnadaiwa kujaza asilimia kubwa waudhuriaji ni mashabiki wa simba?
Hai make sense timu ambayo inajitangaza kuwa na mashabiki wengi iwe nyuma kwa michango, iwe nyuma kwa followers za social media
Huo ukubwa wenu mi nauona kwenye mdomo wa manara ila kwa uhalisia tumewaacha mbi sana