Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,021
- 2,242
Jamaa hamasa yao huwa ndogo daima, ukilinganisha na Simba. Hii ni proof kuwa Simba huenda ina mashabiki wengi Tanzania kuliko timu yoyote.
Pia inaonyesha kiwango cha upendo wa mashabiki kwa timu yao, ni kikubwa sana
Kwa leo tu.., hesabu watu waliovaa jezi ya yanga v simba.