kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Tulishawagundua kitambo .... MAKOLOYanga Tuna Tatizo?
Siku 10 Zimekatika toka hii changamoto ya NANI ZAIDI izinduliwe,Wenzetu Wamefikisha kura Zaidi Elfu mia moja sisi Yanga tupo Forty thousands hivi mpaka sasa, na Hapo Mashabiki wao ndo wapo dissappointed kwa Kuelekea kutokuwa Bingwa msimu huu.
Je Wangekuwa wanaenda kutwaa Ubingwa Si ndo Wangetuacha mbali Zaidi ya Hapa..!
Ndo Swali linakuja Yanga Mashabiki tupo sawa kweli.? Fursa Ya Wazi kwetu Kuonyesha tupo Lkn ndo fursa hiyo inatuvua nguo na aibu juu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu acha roho mbaya tuchukue makombe yote adi na nani zaid ya jf?
Tuwaachie huo mchezo wakitoto wajifariji.
Kwa hiyo mpaka sasa hamjui kama nyieni mabingwa,maajabu sana haya,yanga hamna mashabiki,ubingwa ni wakwenu mwaka huuSubiri Yanga watangazwe Ubingwa hapo J5 utona mzigo utakavyopanda ghafla kwa shangwe la Ubingwa.
Subiri kama siku 2 hivi utaona jinsi yanga watakavyopindua mezaYanga Tuna Tatizo?
Siku 10 Zimekatika toka hii changamoto ya NANI ZAIDI izinduliwe,Wenzetu Wamefikisha kura Zaidi Elfu mia moja sisi Yanga tupo Forty thousands hivi mpaka sasa, na Hapo Mashabiki wao ndo wapo dissappointed kwa Kuelekea kutokuwa Bingwa msimu huu.
Je Wangekuwa wanaenda kutwaa Ubingwa Si ndo Wangetuacha mbali Zaidi ya Hapa..!
Ndo Swali linakuja Yanga Mashabiki tupo sawa kweli.? Fursa Ya Wazi kwetu Kuonyesha tupo Lkn ndo fursa hiyo inatuvua nguo na aibu juu.
Jerry Mlo ndo yupi huyo? Ukisikia timu ya wananchi hiyo ndo tafsiri yake umesahau na watoto yatimaTusidanganyane , Mashabiki wengi wa Yanga ni
1.mamantilie ,
2.wauza mkaa,
3.wazee hawana smartphone
4.wazibua vyoo
6.wachoma mahindi
7.ma housegirl
9. ma baamedi
Na Kazi nyingine za namna hiyo.
Na hili liko wazi kwani hata Jery Mlo alishawahi kulisema . Hivyo kuipata buku ya kupiga kura ni tatizo. Hizo hoja zao kwamba wako busy na ubingwa ni kutafuta kivuli cha kujificha.
Michezo ya kitoto mlianzaje kushiriki?Michezo ya kitoto isikusumbue akili yako
Aya sawa.....nashukuru kwa riwaya yakoMichezo ya kitoto mlianzaje kushiriki?
Nyie si mnajiita timu ya wananchi, nguvu yenu iko wapi sasa mbona kapu halina kitu mpaka muda huu?
Mi nilitegemea nyinyi mngekuwa kinara maradufu, kwanza mna experience ya kuchangia (kile kipindi cha kutembeza bakuli)
Pili nyinyi ndio club ambayo mnajinadi kuwa na mashabiki wengi siku zote na kuwa hata uwanjani huwa mnaongoza nyie kujaa
Kwa hiyo niamini kauli ya eze kumwaga kuwa mechi ambazo mnadaiwa kujaza asilimia kubwa waudhuriaji ni mashabiki wa simba?
Hai make sense timu ambayo inajitangaza kuwa na mashabiki wengi iwe nyuma kwa michango, iwe nyuma kwa followers za social media
Huo ukubwa wenu mi nauona kwenye mdomo wa manara ila kwa uhalisia tumewaacha mbi sana