NANI ZAIDI? Ngoma Nzito Kwa Mashabiki Yanga

Manara aliwaeleza Yanga hawana shida ya pesa kujenga uwanja pesa ipo mingi hivyo wameamua kulipia uachama(wamepata billion) sasa vi michezo vya nani zaidi vya kazi gani????
 
Ndio kilichobaki kwa Simba kuendelea kujipa faraja kupitia...... Nani zaidi?
 
Mmebadilisha kocha msisahau kubadili na waganga.
 
Haya Izo Hela Mkanunue Kombe Sasa [emoji23]
 
Sehemu zote washabiki wa Simba wanajitokeza kwa wingi kupita wa timu nyingine.
Kwenye social media Simba wanaongoza kwa mbali sana ikishindana na Al-Ahally ya Misri.
Hili la michango pia limejidhihirisha na karibu wachangiaji kuwa mara tatu ya wale wa Yanga.
Hapa kwa logic ya kawaida Simba ni wengi kupita Yanga.

Simba ni Lidude Likubwa Sana.
 
Yanga ipo vijijinu huku kwa sana hata mtandao hamna ila Simba mpaka Kenya unaikuta

Watu wavivu ndo huwa wanashabikia yanga
 
Yanga wengi huwa wanaenda pale kwa mkapa lkn wanaishia nje.... Wakisikia kelele ndani ya Uwanja nao ndo wanashangilia bila kujua nani Kafungwa.. ! Buku ya Kupigia kura waipate wapi.. ?
 
Kwani Yanga nanyi mna mashabiki?.
 
Dah!!!, Umeua.
 
Tunasubiri mfikishe mil 200 sisi haoo tunaingia sokoni kuuza goal la feisal na kwa mujibu wa soko la dunia mpk kufikia jioni hii goal la feisal ni bil 2.4
 
Hili zoezi lingeendeshwa ule wakati wa pira Biriani la Ngamia sasa hivi pesa ingevuka m.200

Haki tena.
 
Yaani Mtu uharibu elfu moja yako ya kununua unga kilo moja kisa Yanga au Simba!! Shame
 
Yaani Mtu uharibu elfu moja yako ya kununua unga kilo moja kisa Yanga au Simba!! Shame
Acheni Ubahiri Bana!....Mnampa tabu Msukule mjue. Anategemea baada ya Siku 2 Kura zitapigwa maradufu kwa Yanga dhidi Ya Mnyama
 
Nyie pigeni kura ila mm sipigi yaan nimwage sukari baharini???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama sisi wanamume mbona tunahonga na kunywea bia pesa mingi tu.
Yaani upigie bajeti buku moja...[emoji23][emoji23][emoji23]!
Lahaulah...!

Mashabiki wa Yangayangu kweli wamefulia.
Na ndio mnataka muongoze kutoa michango ya timu kiushindani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…