Killmonger JF-Expert Member Joined Jan 11, 2015 Posts 2,021 Reaction score 2,242 Jun 14, 2022 #41 Drat said: Jamaa hamasa yao huwa ndogo daima, ukilinganisha na Simba. Hii ni proof kuwa Simba huenda ina mashabiki wengi Tanzania kuliko timu yoyote. Pia inaonyesha kiwango cha upendo wa mashabiki kwa timu yao, ni kikubwa sana Click to expand... Kwa leo tu.., hesabu watu waliovaa jezi ya yanga v simba.
Drat said: Jamaa hamasa yao huwa ndogo daima, ukilinganisha na Simba. Hii ni proof kuwa Simba huenda ina mashabiki wengi Tanzania kuliko timu yoyote. Pia inaonyesha kiwango cha upendo wa mashabiki kwa timu yao, ni kikubwa sana Click to expand... Kwa leo tu.., hesabu watu waliovaa jezi ya yanga v simba.