Nanusa harufu ya matukio

Nanusa harufu ya matukio

je! inawezekana vp mtu kuendelea kutumia wtsp na kupost stutus mf hta mpka sa 8usiku while lst seen yake inanionyesha ni sa2? hta ukimtxt labda sa 3usiku utakutna na jbu asubuhi na atakuambia nimekujibu toka jna labda mtndao.
Najua kwl mtandao unaweza kusumbua lkn inwezekena vp kuendelea kuona stutus na zote ni huduma za wtsp hiyohyo au iko tofauti
Acha kufwatilia status zake, last seen zake nk, wasiliana kwa simu au meseji za kawaida, la sivyo utakipata unachokitafuta
 
Ni rahisi mtu kufika inbox afu asifike upande wa status. Sasa wifi hapa ye anaenda status bila kupita inbox?
Wifi hampendi kaka
Kaka ajiongeze tu achape mwendo
inawezekana lkn bdo nina imani nikiacha changamoto hii sioni madhaifu yake upande mwingine zaidi ya yale ya kibinadamu
 
⚫ Ukiona alama hii ✔️ maana yake Ujumbe Umepokelewa

⚫ ✔️✔️ Maana yake Ujumbe Umefika.

⚫ Alama ✔️✔️ za buluu
Maana yake Ujumbe Umesomwa

⚫ Alama✔️✔️✔️ za buluu
Maana yake Serikali imechukua Note ya Ujumbe

⚫ Ukiona alama mbili za buluu✔️✔️ na Nyekundu Moja ✔️
Maana yake Serikali inaweza kuchukua hatua dhidi yako.

⚫ Ukiona alama moja✔️ ya buluu na Nyekundu Mbili✔️✔️
Maana yake Serikali inachunguza Taalifa Yako.

⚫ Ukiona alama Tatu Nyekundu✔️✔️✔️
Maana yake Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi yako na utapata wito wa Mahakama punde.
 
Back
Top Bottom