Baadae baadae mkuupicha tafadhari ili tufanya upembuzi yakinifu na usanifu
Kama hiyo ngumu muite jirani hasa WAKIUME maana MDADA ataogopa kama weweNaomba plan B basi. Hiyo ya mwanzo ni ngumu kidogo
hayaaaaKama hiyo ngumu muite jirani hasa WAKIUME maana MDADA ataogopa kama wewe
sawaPicha Tafadhali
[emoji125] [emoji125] [emoji125]sawa
Njoo tu Bila shaka utapata unafuu kuanzia jioni ya leoNgoja nije mkuu maana maumivu ni makali sana. Hata hapa kwenye bao bonye nataipu kwa shida sana nisijitoneshe
Mwanamke wa mkoani mkuuMwanaume wa dar huyu
Ahsante kwa maneno yako ya farajaNjoo tu Bila shaka utapata unafuu kuanzia jioni ya leo
Kama hiyo ni ngumu basi paka utomvu wa aloe VeraLooh!
Tafuta amplicoxy. Sijui kama nimeandika sawa. Ila ipo strong sana.Kuna vidude fulani hivi vinaota pembeni kwenye kucha za mkononi ukifua nguo.
Mie kalikuwepo, ila kalitoka kenyewe.
Tatizo nimevimba sana kidole, ni kidole kidogo cha mkono wa kushoto.
Nimenunua kiwembe ili nijichane usaha utoke, uwiiiiii, naogopa hadi moyo unadema dema.
Nitumie dawa gani ya kukausha huo usaha/uvimbe. Usiku sikulala usingizi mwororo kwa maumivu yalivyokuwa makali.
ππππ
Hii kidogo iko njemaπKama hiyo ni ngumu basi paka utomvu wa aloe Vera
Shavu la usoni, nimeipenda hiyo, hiyo ni medical procedure nenda kwa medical practiotiner ,Kimevimba na usaha unaonekana, unachoma choma, hata nikikiweka kwenye shavu langu (shavu la usoni), kina moto sana
Ahsante sana BarikiwaShavu la usoni, nimeipenda hiyo, hiyo ni medical procedure nenda kwa medical practiotiner ,
Dawa meno ya kampuni ipi? au yoyote ile?Ukiweza pia, paka dawa ya mswaki hapo, kila usiku ukilala.. Ina ivisha, ila hiyo dawa inakausha kwa ndani. Kwa uzoefu wangu
Yeyote tu. PoaDawa meno ya kampuni ipi? au yoyote ile?
Tubarikiwe wote mkuu!nakutakia kupona kwa upesi!Ahsante sana Barikiwa