Naogopa kujichana kwa kiwembe mie mwenyewe

Naogopa kujichana kwa kiwembe mie mwenyewe

Kuna vidude fulani hivi vinaota pembeni kwenye kucha za mkononi ukifua nguo.
Mie kalikuwepo, ila kalitoka kenyewe.
Tatizo nimevimba sana kidole, ni kidole kidogo cha mkono wa kushoto.
Nimenunua kiwembe ili nijichane usaha utoke, uwiiiiii, naogopa hadi moyo unadema dema.

Nitumie dawa gani ya kukausha huo usaha/uvimbe. Usiku sikulala usingizi mwororo kwa maumivu yalivyokuwa makali.

😕😕😕😕
Tafuta amplicoxy. Sijui kama nimeandika sawa. Ila ipo strong sana.
 
Back
Top Bottom