mmmh! Nasikia eti zinapausha nguo, hata hivyo kusema ukweli wa kutoka kwenye uvungu wangu, sina mpango wa mkakati wa kununua hiyo kitu.
Nisaidie kwenye huu uvimbe ambao una usaha nitumie dawa gani mai rolimodo?
Ni kweli niliomba kwa kaka mmoja hivi, akaniambia nikanunue kiwembe, nikanunua, akanichana na kukamua usaha. Ila usiku wa jana usaha umerudi tena hadi ninavyotaipu hii comment