Kuna vidude fulani hivi vinaota pembeni kwenye kucha za mkononi ukifua nguo mie kalikuwepo, ila kalitoka kenyewe tatizo nimevimba sana kidole, ni kidole kidogo cha mkono wa kushoto nimenunua kiwembe ili nijichane usaha utoke, uwiiiiii, naogopa hadi moyo unadema dema nitumie dawa gani ya kukausha huo usaha/uvimbe usiku sikulala usingizi mwororo kwa maumivu yalivyokuwa makali.
😕😕😕😕
APU DEITISI
23/10/2018 nimeenda hospitali ya mkoa wa Mwanza Sekoutoure, wamenifanyia upasuaji mdogo. Ila nimepata kichambo cha kuchelewa kwenda hapo hadi kidole kimekuwa cheusi na usaha unatoa harufu mbayaaa.
Ahsanteni wote mlionitakiwa afya njema, na pia ushauri wenu.