Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

HAhahahahhaha
 
Njoo ghetto kwangu tuyajenge.

Nipo mwananyamala
 
Leo ndo nafahamu kuwa mwanaume anaweza kusex na asifeel kiashiria chochote cha kumuwezesha kujua kwamba alingonoka.
Anyway fuata ushauri wa wadau anza PEP kabla ya masaa 72 kupita huyo sexual partner ni high risk
Hlf ukute kaacha mimba humo weeeh[emoji3]
 
Mmh hakikisha mmeenda kupima ili mjue status ya afya zenu na kama mmojawapo atakutwa positive basi inabidi uanze kutumia PEP kabla hayajapita masaa 72 .

Pili wala haina haja ya kumwambia maana kama alikua anakuamini ndiyo hatokua akikuamini tena, ushafanya kosa basi jisamehe mwenyewe na usirudie kama kweli unampenda mwenzio.

Mwisho , ni kweli hukujitambua hadi unaenda nyumbani kwa huyo dada ? Unahisi uliwekewa madawa ya kulevya? Na kwanini? Kwamba una mkuyenge mtamu sana hadi dada wa watu akuleweshe na kukupeleka kwake?
 
Hapo chakumwambia ndio changamoto kumbuka sijalala home nimekuta missed 4 zake kwenye simu yangu na bado kanipigia mchana sijapokea unadhani nitamwambia nini anielewe?

Ila wanawake wana huruma sana, we naye una mwanamke ndani…. kwa uoga huu lazima huwa unachezea vitasa.
 
Tumia diplomasia, ikishindikana Tumia udikteta.

Njia zote Ni sahii na zinasolve tatizo lako kabisa[emoji4]
Kuna siku shemeji yangu hakulala kwake... Katafutwa kwa simu wapiii kesho yake anapiga simu asubh. kuulizwa eti nililala polisi...kulitokea kutoelewana mahali (kwenye pombe i think)[emoji28]

Siku ingine akasema nililelewa sana nikalala kwa dogo.(wakiume)[emoji38]

Sio mara 1 hii mambo.

Inabidi tu ukubali ht km sio kweli ila najua kbs alikua muongo yule[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hlf ukute kaacha mimba humo weeeh[emoji3]
Nasusa dada yangu Leo hata sijaenda kwenye mishe mishe yangu kabisa na teyari nipo now home nimemtaarifu kabisa mpenzi wangu kuna changamoto ingetokea akifika home nitamueleza zaidi maana yeye Mara nyingi anafika kuanzia saa 2 usiku
 
Hilo swali ulizoniuliza kwenye paragraph la mwisho ni ngumu Sana kukujibu kuhusu mkuyenge wangu ni mtamu au vipi nadhani mwenye majibu sahihi ni huyo dada na kuhusu huyo dada kuniwekea madawa kulevya may be Unaweza ukawa sahihi au la hata mimi nilikuwa nalifikiri hili
 
Kama hukumbuki kilichotokea hupwasi kua na wasi wasi...
 
Pole sana mkuu. Mimi kuna sista kila nikionana nae ananilazimisha kunywa sijui ndio mipango hii. Bahati mbaya naonana nae mara kwa mara kwa ishu za kikazi hivyo sitaki mambo yawe mengi vibe itakuwa weird.

Katafute PEP fasta kwanza kabla ya kuzungumza na huyo msichana ulielala nae. Huyo mtu wako hamna neno uwongo uko mwingi tu wa kutumia.
 
Am trying to think out loud, kama ulikua hujitambui hivo hata mkuyenge ulipata erection kweli? Kama ulipata aargh usituzuge ulienjoy show na kugugumia juu then unakuja unalalamika hukujitambua, kaongo sana wewe. 😂
 
Hyo mbinu itatumika in future inaokoa sna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…