Naogopa kutapeliwa, nipo Iringa sina nauli ya kufikia dar hela niliyo nayo ni ya kununua PS4

Joseph 44

Senior Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
100
Reaction score
65
Poleni sana majukumu ya hapa na pale wanajamii mimi nataka kununua ps 4 katika pita pita Zangu nimekutana na Hawa gamestore wapo mlimani city sasa mimi nipo Iringa nauli ya kufikia mpaka dar na Kurdi sina sasa hela niliyo nayo ni ya kununua tu ps4 sasa nilitamani mnisaidie Hawa Jamaa mnawafahamu ama wataniingiza mkenge maana sielewi elewi kabla sijawatumia ili waniderivie kwenu wakuu
 
Attachments

  • Screenshot_20250316-145752.png
    Screenshot_20250316-145752.png
    732.5 KB · Views: 42
  • Screenshot_20250316-145817.png
    Screenshot_20250316-145817.png
    435.9 KB · Views: 47
Ushauri wangu nenda Iringa mjini tafuta duka zuri la kuaminika la hizo consoles za PS na Xbox nunua hio PS4 hapo kama unataka used waulize watakupa maelezo mazuri/watakuuzia.

Maana tayari akili ishakataa, ukihisi kuna utapeli pahala jua upo kweli.
 
Asante mkuu Shida Iringa hakuna duka linalouza ps4
 
Profile yao inatosha kuonesha ni waaminifu, huwezi kutapeliwa ila waambie tu wafikishe mzigo kwanza office za usafirishaji baada ya wao kukabidhiwa receipt na wasafirishaji waupige parcel pamoja na receipt picha ndipo ulipie
 
Wanakuuzia sh ngapi mkuu Mimi ninazo nikutumie
Hizi
Slim
GB 500
 
Attachments

  • IMG-20250316-WA0004.jpg
    IMG-20250316-WA0004.jpg
    114.5 KB · Views: 43
  • IMG-20250316-WA0003.jpg
    IMG-20250316-WA0003.jpg
    45.1 KB · Views: 32
  • IMG-20250316-WA0004.jpg
    IMG-20250316-WA0004.jpg
    114.5 KB · Views: 35
  • IMG-20250316-WA0004.jpg
    IMG-20250316-WA0004.jpg
    114.5 KB · Views: 37
  • IMG-20250315-WA0086.jpg
    IMG-20250315-WA0086.jpg
    112.6 KB · Views: 41
  • IMG-20250316-WA0003.jpg
    IMG-20250316-WA0003.jpg
    45.1 KB · Views: 43
  • IMG-20250316-WA0003.jpg
    IMG-20250316-WA0003.jpg
    45.1 KB · Views: 42
  • IMG-20250315-WA0086.jpg
    IMG-20250315-WA0086.jpg
    112.6 KB · Views: 41
Poleni sana majukumu ya hapa na pale wanajamii mimi nataka kununua ps 4 katika pita pita Zangu nimekutana na Hawa gamestore wapo mlimani city sasa mimi nipo Iringa nauli ya kufikia mpaka dar na Kurdi sina sasa hela niliyo nayo ni ya kununua tu ps4 sasa nilitamani mnisaidie Hawa Jamaa mnawafahamu ama wataniingiza mkenge maana sielewi elewi kabla sijawatumia ili waniderivie kwenu wakuu
Huku umejileta, ngoja matapeli uliowakwepa wakushauri
 
Profile yao inatosha kuonesha ni waaminifu, huwezi kutapeliwa ila waambie tu wafikishe mzigo kwanza office za usafirishaji baada ya wao kukabidhiwa receipt na wasafirishaji waupige parcel pamoja na receipt picha ndipo ulipie
Sijakuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom