Naogopa kutapeliwa, nipo Iringa sina nauli ya kufikia dar hela niliyo nayo ni ya kununua PS4

Naogopa kutapeliwa, nipo Iringa sina nauli ya kufikia dar hela niliyo nayo ni ya kununua PS4

Dah,,,, !! Kuna harufu ya kupigwa hapo, fanya kama mdau alivokuelekeza hapo,,,, Waambie waupack mzigo, wapeleke kwenye office ya cargo ama mabus , then waulipie kabisa ,,,,[transfer fee] then wapewe receipt na kampuni husika, wapige picha wakiwa hapo offcn then wewe ulipie kabla ya wao kuondoka hapo offcn, wakiuliza why waambie ndo utaratibu wako umeamua hivo, wakigoma au chenga chenga nyingi achana nao Mara moja ! Pia kuwa makini humu ndani utapigwa pia kuna wajuvi na matapeli wengi tu,,,, kuna kinamna umekaa sasa watatamia hio fursa kukupiga,,,,all the best mpambanaji
 
Da kaka nashukuru sana nicheki pm kaka
 
Poleni sana majukumu ya hapa na pale wanajamii mimi nataka kununua ps 4 katika pita pita Zangu nimekutana na Hawa gamestore wapo mlimani city sasa mimi nipo Iringa nauli ya kufikia mpaka dar na Kurdi sina sasa hela niliyo nayo ni ya kununua tu ps4 sasa nilitamani mnisaidie Hawa Jamaa mnawafahamu ama wataniingiza mkenge maana sielewi elewi kabla sijawatumia ili waniderivie kwenu wakuu
Neno langu siyo sheria ni uamuzi wako kuchakata na kuamua.
Hawa watu si matapeli nishanunua vitu kwa mara kadhaa. Hata page yao tu inaonyesha kuwa si matapeli maana ni rahisi kunotice page za wapigaji. Mind you mimi niko dar so huwa naenda dukani au nawambie wanifanyie delivery.
 
Jichange nauli ya kuja na kurudi kama umeweza kupata hela ya ps4 hauwezi kukosa 60k ya nauli ya go and return uzuri ni kwamba kuna safari za usiku kwaiyo unaweza kuja na kuondoka bila kula dar. Biashara ya kuagiza sio salama, utapeli ni mwingi sana. Kama kuna uwezekano wa kufika dukani ongezea hela ya nauli nenda tu wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom