Naogopa kutapeliwa, nipo Iringa sina nauli ya kufikia dar hela niliyo nayo ni ya kununua PS4

Naogopa kutapeliwa, nipo Iringa sina nauli ya kufikia dar hela niliyo nayo ni ya kununua PS4

Wewe biashara huwezi Tangu Mwaka jana unaulizia tu mambo ya PS hutaki kununua wametokea watu wengi saana wanazo hutaki, Nadhani una utoto mwingi sana. Tangu mwaka jana unaanzisha nyuzi tu
Huku jf utoto mwingi sana.kwanza kaniambia niende pm anasema hata hela.hana.
Eti dar matapeli
Watu wangapi wananunua vitu dar tena
mizigo ya mamilioni eti.
Na huyu lazima apigwe Tu.
 
Dah,,,, !! Kuna harufu ya kupigwa hapo, fanya kama mdau alivokuelekeza hapo,,,, Waambie waupack mzigo, wapeleke kwenye office ya cargo ama mabus , then waulipie kabisa ,,,,[transfer fee] then wapewe receipt na kampuni husika, wapige picha wakiwa hapo offcn then wewe ulipie kabla ya wao kuondoka hapo offcn, wakiuliza why waambie ndo utaratibu wako umeamua hivo, wakigoma au chenga chenga nyingi achana nao Mara moja ! Pia kuwa makini humu ndani utapigwa pia kuna wajuvi na matapeli wengi tu,,,, kuna kinamna umekaa sasa watatamia hio fursa kukupiga,,,,all the best mpambanaji
Wakipiga picha housing?
 
Neno langu siyo sheria ni uamuzi wako kuchakata na kuamua.
Hawa watu si matapeli nishanunua vitu kwa mara kadhaa. Hata page yao tu inaonyesha kuwa si matapeli maana ni rahisi kunotice page za wapigaji. Mind you mimi niko dar so huwa naenda du
Neno langu siyo sheria ni uamuzi wako kuchakata na kuamua.
Hawa watu si matapeli nishanunua vitu kwa mara kadhaa. Hata page yao tu inaonyesha kuwa si matapeli maana ni rahisi kunotice page za wapigaji. Mind you mimi niko dar so huwa naenda dukani au nawambie wanifanyie delivers Asante kk
 
Ka
Huku jf utoto mwingi sana.kwanza kaniambia niende pm anasema hata hela.hana.
Eti dar matapeli
Watu wangapi wananunua vitu dar tena
mizigo ya mamilioni eti.
Na huyu lazima apigwe Tu.
Kaka nakueshimu sana nimekuomba tu no otherwise kama unaona ni upuuzi please mind your we umeniambia ps unauza laki saba nimekuambia mi uwezo wa hela unayoitaka sina so unataka kingine nini??
 
Wewe biashara huwezi Tangu Mwaka jana unaulizia tu mambo ya PS hutaki kununua wametokea watu wengi saana wanazo hutaki, Nadhani una utoto mwingi sana. Tangu mwaka jana unaanzisha nyuzi tu
Shida sio biashara kaka shida ni uaminifu
 
tafuta kampuni inaitwa TUTUME hawa jamaa waaminifu sana wanakuleta mzigo unalipia unasaini imeisha.
 
Mbona ng’ombe mnapenda sana majani wakati ulipo mnawa watu
 
Back
Top Bottom