Naogopa kutapeliwa, nipo Iringa sina nauli ya kufikia dar hela niliyo nayo ni ya kununua PS4

Naogopa kutapeliwa, nipo Iringa sina nauli ya kufikia dar hela niliyo nayo ni ya kununua PS4

Nimeshawahi kuandika uzi wa wazo langu la kuwa na kiofisi cha online watu wa mikoani mnitume bidhaa kwa malipo madogo mkaniponda haya sasa nakosa hela hizi
 
Kama hutojali nitumie hyo pesa nikakuchukulie ili nikutumie mzigo, najua ww ni mpambanaji . Kama utaniamini lakini.majina yangu ni RAJAB LEONARD MPINGE
Namba ya SIMU ni +255 786 596 669
Nashukuru mkuu sitaweza Asante
 
Poleni sana majukumu ya hapa na pale wanajamii mimi nataka kununua ps 4 katika pita pita Zangu nimekutana na Hawa gamestore wapo mlimani city sasa mimi nipo Iringa nauli ya kufikia mpaka dar na Kurdi sina sasa hela niliyo nayo ni ya kununua tu ps4 sasa nilitamani mnisaidie Hawa Jamaa mnawafahamu ama wataniingiza mkenge maana sielewi elewi kabla sijawatumia ili waniderivie kwenu wakuu
Ulishapata au nikununulie nkutumie unirudishie hela
 
Poleni sana majukumu ya hapa na pale wanajamii mimi nataka kununua ps 4 katika pita pita Zangu nimekutana na Hawa gamestore wapo mlimani city sasa mimi nipo Iringa nauli ya kufikia mpaka dar na Kurdi sina sasa hela niliyo nayo ni ya kununua tu ps4 sasa nilitamani mnisaidie Hawa Jamaa mnawafahamu ama wataniingiza mkenge maana sielewi elewi kabla sijawatumia ili waniderivie kwenu wakuu
Njoo kwanza Dar, tukupeleke kitambaa cheupe, halafu kesho yake ndio tukatafute maduka ya PS
 
Ishu si kutapeliwa tu, kama Console ni Used kuna hati hati ikaja na shida..

Mbili ktk harakati za usafirishaji ikapotea / kuharibiwa..

(Niliwah nunua ps5 ikawekw ktk special area, ila lile gari likawa linavujisha maji ya mvua yanapenya.. mzigo kufika unapotakiw kufungua ile sehem tukakuta maji kibao bahat nzur box pekee ndio lililowa.. na ndani imesetiwa na mabox mengine ambayo hayapitishi maji ndio salama yake.

Kwa hizo Used tegemea itakuw packed kienyeji..
 
Bado hujakutana na wazee wa WETE, PEMBA, MWEMBELADU ZANZIBAR, Hawa watakuuzia hio PS 4 kwa 200K tuu, ukikosa utulivu umepigwa...
 
Bado hujakutana na wazee wa WETE, PEMBA, MWEMBELADU ZANZIBAR, Hawa watakuuzia hio PS 4 kwa 200K tuu, ukikosa utulivu umepigwa...
Hahaha wahehe hatuibiwi kizembe labda uje na bunduki na penyewe tutafaiti ikishindikana najinyonga 😎😎
 
Back
Top Bottom