As you wish bossUnatuma au unaleta mwenyewe
Achana na Mimi .na lazima upigwe Tu.utatumiwa box tupu.tuko hapaShida unabei wao Wanafanya slim kwa 600000 wewe miasaba wapi na wapi
Watu wanalipa magari milioni Mia tatu Japan au wapi .wewe bwana usichoshe watuShida mkuu dukani wanataka ulipe kwanza alafu bizaa hujaiona
😎😎😎😎😎😎Wewe biashara huwezi Tangu Mwaka jana unaulizia tu mambo ya PS hutaki kununua wametokea watu wengi saana wanazo hutaki, Nadhani una utoto mwingi sana. Tangu mwaka jana unaanzisha nyuzi tu
Ulishapata au nikununulie nkutumie unirudishie helaPoleni sana majukumu ya hapa na pale wanajamii mimi nataka kununua ps 4 katika pita pita Zangu nimekutana na Hawa gamestore wapo mlimani city sasa mimi nipo Iringa nauli ya kufikia mpaka dar na Kurdi sina sasa hela niliyo nayo ni ya kununua tu ps4 sasa nilitamani mnisaidie Hawa Jamaa mnawafahamu ama wataniingiza mkenge maana sielewi elewi kabla sijawatumia ili waniderivie kwenu wakuu
Na 5 pro unauzajeSawa mkuu ila kwa mwingine anaetaka nauza 700,000
OkNashukuru mkuu sitaweza Asante
Njoo kwanza Dar, tukupeleke kitambaa cheupe, halafu kesho yake ndio tukatafute maduka ya PSPoleni sana majukumu ya hapa na pale wanajamii mimi nataka kununua ps 4 katika pita pita Zangu nimekutana na Hawa gamestore wapo mlimani city sasa mimi nipo Iringa nauli ya kufikia mpaka dar na Kurdi sina sasa hela niliyo nayo ni ya kununua tu ps4 sasa nilitamani mnisaidie Hawa Jamaa mnawafahamu ama wataniingiza mkenge maana sielewi elewi kabla sijawatumia ili waniderivie kwenu wakuu
Watu gani? Watu wanatuma hela kila sikuKweli mkuu watu wa mikoani tunataabika sana😥
Ntazidi kufatilia nijisajili kwenye mamlaka husika tufanye kaziKweli mkuu watu wa mikoani tunataabika sana😥