Asante mkuu Shida Iringa hakuna duka linalouza ps4Ushauri wangu nenda Iringa mjini tafuta duka zuri la kuaminika la hizo consoles za PS na Xbox nunua hio PS4 hapo kama unataka used waulize watakupa maelezo mazuri/watakuuzia.
Maana tayari akili ishakataa, ukihisi kuna utapeli pahala jua upo kweli.
Sijatembelea maeneo hayo mda sana, kwa hiyo kukushauri itakuwa ngumuKaka ebu nishauli
Huku umejileta, ngoja matapeli uliowakwepa wakushauriPoleni sana majukumu ya hapa na pale wanajamii mimi nataka kununua ps 4 katika pita pita Zangu nimekutana na Hawa gamestore wapo mlimani city sasa mimi nipo Iringa nauli ya kufikia mpaka dar na Kurdi sina sasa hela niliyo nayo ni ya kununua tu ps4 sasa nilitamani mnisaidie Hawa Jamaa mnawafahamu ama wataniingiza mkenge maana sielewi elewi kabla sijawatumia ili waniderivie kwenu wakuu
Sijakuelewa mkuuProfile yao inatosha kuonesha ni waaminifu, huwezi kutapeliwa ila waambie tu wafikishe mzigo kwanza office za usafirishaji baada ya wao kukabidhiwa receipt na wasafirishaji waupige parcel pamoja na receipt picha ndipo ulipie
Kama umeshindwa kunielewa basi nunulia hukohuko iringa maana unaonekana bado sana kwenye ulimwengu wa kisasaSijakuelewa mkuu