Naogopa kuwa mama

Umenifurahisha na kunichekesha at once πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€—.. Ubarikiwe sana aisee
i love my motherhood.
Kiukweli kabisa, na natamani binti zangu waweze hii.
Bana WEKA mtu afanye vitu.
Acha vitu vichache kuweka your motherly and wifey touch.
Say like nyumba ikiwa inadekiwa na maid , mama mimi niko jikoni napika chapati na kuchemsha chai ya kiswahili!.
Dada akifua nguo na kuzinyosha, mi nikimpangia kwa kumechisha le hubby shati na soksi vya kuvaa kanisani kuna ubaya,
Dada akifua nguo za mtoto , mi nikimbana nywele kwa ribbon kuna tatizo!
Watu watafute tumbwinu twa kutouch the family bila kuteseka jamani!
 
Ukifika muda utabadilika tu. Binafsi nilikuwa nahofia kuweza hata kujilisha mimi mwenyewe, achia mbali kuwa na uwezo wa kuilisha familia na kfanya mambo mengine. lakini, leo hii wengine wapo vyuo vikuu
 
mbaya sana kusubiri umri ukuforce kua mama, wakati unazigomea na kuzikataa fursa chungu nzima kila leo sasa.......

inaweza kua ngumu zaidi kupata hata moja tu, atakae kuita mama mbeleni, huwezi jua...

ni vizuri kuhuisha nafsi na mioyo yetu kwa toba, ili tuwe na uhusiano wa karibu sana na Mungu, na tuweze kuskia na kutambua wito na sauti ya Mungu kwenye maisha yetu, na kuondoa hofu na woga wa kisichojulikana, ambao unaoweza kua mzingo, mahangaiko na majuto kwenye maisha yetu.

ni vizuri kujifunza kujitegemea kwa mawazo, maneno na matendo. Mfano mwema kama huo wa mama, utusaidie kuwa mama na baba bora kwa familia zetu. Na Mungu akubariki sana....
 
Natamani nije kuwa kama wewe aisee. Uko na lifestyle nzuri sana.
Mama yangu hataki msaidizi hata kusikia, sijui kwanini
 
Alafu kuna kuchanwa na kuchanika chagua moja tafadhali
Alafu ni kuchanwa na kuchanika bila ganzi.
Chagua tu moja.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Asee! Kazi ipo hapo kwenye kuzaa
Kuna rafiki yangu anakwambia aliongezwa njia lakini ngoma bado ikawa haitoshi...kichwa ikachana kei zaidi ya ilivyoongezwa!!

Kiukweli natamani hofu yangu ya kuwa mama ingefanana na ya Leejay49 manake mbadala wa kazi za nyumbani upo
 
AmenπŸ™πŸ₯°.. Ubarikiwe sana aisee
 
Kibaya ni kwamba hataki tuondoke nyumbani, labda itokee unafanya kazi mkoa mwingine.. Dada yangu katoka bado mimi
hUYO MAMA yenu kazi anayo.
haki mi nataka kuona my kids wakigrow, wakitoka eneo moja kwenda lingine, wakiscale up.

Hakiiiiii nawapenda to bits, but sitaaaaaki kukumbatiana na watoto hata when they are to kwenda duniani na kuspread their wings!
Mimi ni Mama Tai , tafuta ujue namna tai analea watoto wake.
Sa ndo mimi!
 
Inaogopesha kipenzi.. Lakini naamini nitaweza hata huko.. Kama huyo bestie alitoka salama basi na wewe pia utapita salama usiogopeπŸ₯°πŸ˜˜
 
Congratulations.. Mungu mwema naamini nitaishi kwa uhuru na wanangu kama ambavyo wewe unaishi.. Nadhani mama yangu ni mwoga sana
 
Nakwambia naukimaliza unachomwa sindano ya ganzi unashonwa kama huko kwa fundi cherehani.
Sema bwana hiyo shughuli hapana
Na op ndio balaa balaani.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…