Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu kuna kuchanwa na kuchanika chagua moja tafadhaliKinachonifanya niogope kuwa mama ni vile nasikia watu wanachanika waki-push
Imagine kei inatoa kichwa ya mtoto inashindwa kuvumilia inachanika 😢
Una haki ya kuukataa umama; ukifikisha 35+ utatamani uitwe mama kwa kila namnaNatimiza 23, mwezi july kipenzi
i love my motherhood.Umenifurahisha na kunichekesha at once 😂😂😂🤗.. Ubarikiwe sana aisee
Suluhisho ni kuruhusu itumike ili njia ilegeeAlafu kuna kuchanwa na kuchanika chagua moja tafadhali
Alafu ni kuchanwa na kuchanika bila ganzi.
Chagua tu moja.
😂😂😂😂
Ukifika muda utabadilika tu. Binafsi nilikuwa nahofia kuweza hata kujilisha mimi mwenyewe, achia mbali kuwa na uwezo wa kuilisha familia na kfanya mambo mengine. lakini, leo hii wengine wapo vyuo vikuuNatumai wazima wote,.
Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae (Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona mama yangu anaishi.
Huyu mwanamke sielewi huwa anapumzika mda gani, yeye ndie mtu wa mwisho kulala kila siku. Yaani hawezi kulala kama kuna mtu bado hajaingia nyumbani, na anahakikisha kila mtu amekula amelala anafunga milango ndipo na yeye alale. Na hata akiingia kulala halitapita nusu saa anapita tena vyumba vyote kuhakikisha mmefunga madirisha, mmeshusha neti na mmejifunika vizuri (anaweza akaamka hata mara 4 kwa usiku mmoja).
Haitaishia hapo, bado kuna sisi ambao inabidi asubuhi tuende kazini na wengine shuleni, wanaoamka usiku kusoma na wanaoamka kusali, kila mtu anamtajia mda wake wa kumwamsha hajawahi kukataa wala kupitiliza kutuamsha, always anakua on time.
Sijawahi kushuhudia ni saa ngapi ameamka ila kila tukiamka asubuhi tayari tunamkuta akiwa macho, kashafanya usafi na kashapika chai tunakunywa tunamwacha Nyumbani. Hatujawahi kuona au kushuhudia akilala mchana, Labda itokee anaumwa (napo ni mara chache sana ). Sijui hua anapumzika mda gani
Hajawahi kuishi na msaidizi wa kazi maisha yake yote, lakini hakuna aliyewahi kufua, kudeki, kupika, kuosha vyombo wala kufagia. Sio kwamba hatutaki kumsaidia Hapana, ni kwamba hatujawahi kuona uwanja ukiwa mchafu, vyombo vichafu na mda wowote ukirudi nyumbani unakuta chakula tayari na usafi wote ushafanywa na nguo zote ziko kambani zinakauka.
Licha ya hayo yote vilevile bado hajawahi kuacha kwenda kazini na shughuli zake nyingine zote za ujasiriamali hajawahi kuacha kufanya, hajawahi kuacha kwenda kwenye jumuiya wala kanisani hata jumapili moja, na kwenye dharura zote iwe hospitali au kikao chochote atakachohitajika mzazi awepo basi ni yeye ndio atakuwepo tena kwa wakati. Na sijawahi kumwona akilalamika, akinung’unika wala akimlaumu mtu kwamba hakuna anayemsaidia kazi hata siku moja.
Haya maisha yake yananiogopesha na yananifanya niogope hata kuwaza jinsi nitakavyoishi na watoto wangu huko mbeleni. Sometimes i wish ningekua wakiume labda ningeishi tu kama baba yangu anavyoishi😓😓😓 (Em assume mtu anafanya haya maisha yake yote)
mbaya sana kusubiri umri ukuforce kua mama, wakati unazigomea na kuzikataa fursa chungu nzima kila leo sasa.......Natumai wazima wote,.

Kweli, we angalia mashangazi wanavyopigania wanaumeDuuuh🥺🥺, sio kweli bhana
Natamani nije kuwa kama wewe aisee. Uko na lifestyle nzuri sana.i love my motherhood.
Kiukweli kabisa, na natamani binti zangu waweze hii.
Bana WEKA mtu afanye vitu.
Acha vitu vichache kuweka your motherly and wifey touch.
Say like nyumba ikiwa inadekiwa na maid , mama mimi niko jikoni napika chapati na kuchemsha chai ya kiswahili!.
Dada akifua nguo na kuzinyosha, mi nikimpangia kwa kumechisha le hubby shati na soksi vya kuvaa kanisani kuna ubaya,
Dada akifua nguo za mtoto , mi nikimbana nywele kwa ribbon kuna tatizo!
Watu watafute tumbwinu twa kutouch the family bila kuteseka jamani!
Alafu kuna kuchanwa na kuchanika chagua moja tafadhali
Alafu ni kuchanwa na kuchanika bila ganzi.
Chagua tu moja.
😂😂😂😂
Amen🙏🥰.. Ubarikiwe sana aiseembaya sana kusubiri umri ukuforce kua mama, wakati unazigomea na kuzikataa fursa chungu nzima kila leo sasa.......
inaweza kua ngumu zaidi kupata hata moja tu, atakae kuita mama mbeleni, huwezi jua...
ni vizuri kuhuisha nafsi na mioyo yetu kwa toba, ili tuwe na uhusiano wa karibu sana na Mungu, na tuweze kuskia na kutambua wito na sauti ya Mungu kwenye maisha yetu, na kuondoa hofu na woga wa kisichojulikana, unaoweza kua mzingo, mahangaiko na majuto kwenye maisha yetu kwenye maisha yetu.
ni vizuri kujifunza kujitegemea kwa mawazo, maneno na matendo, Na Mungu akubariki sana....
hUYO MAMA yenu kazi anayo.Kibaya ni kwamba hataki tuondoke nyumbani, labda itokee unafanya kazi mkoa mwingine.. Dada yangu katoka bado mimi
Inaogopesha kipenzi.. Lakini naamini nitaweza hata huko.. Kama huyo bestie alitoka salama basi na wewe pia utapita salama usiogope🥰😘Asee! Kazi ipo hapo kwenye kuzaa
Kuna rafiki yangu anakwambia aliongezwa njia lakini ngoma bado ikawa haitoshi...kichwa ikachana kei zaidi ya ilivyoongezwa!!
Kiukweli natamani hofu yangu ya kuwa mama ingefanana na ya Leejay49 manake mbadala wa kazi za nyumbani upo
Congratulations.. Mungu mwema naamini nitaishi kwa uhuru na wanangu kama ambavyo wewe unaishi.. Nadhani mama yangu ni mwoga sanahUYO MAMA yenu kazi anayo.
haki mi nataka kuona my kids wakigrow, wakitoka eneo moja kwenda lingine, wakiscale up.
Hakiiiiii nawapenda to bits, but sitaaaaaki kukumbatiana na watoto hata when they are to kwenda duniani na kuspread their wings!
Mimi ni Mama Tai , tafuta ujue namna tai analea watoto wake.
Sa ndo mimi!
Nakwambia naukimaliza unachomwa sindano ya ganzi unashonwa kama huko kwa fundi cherehani.Asee! Kazi ipo hapo kwenye kuzaa