Naogopa kuwa mama

Ukikuta mama mwenye gubu
Unamaliza kufanya usafi anakuja anarudia upya πŸ˜€
Ndo wengi wa hivi huwa hivyo.
PERFECTIONISTS heehehehheee miiiimi huyu navopenda kukaa kwenye majani na kutizama tu jua linapozama wakati nyumba yangu ikiwa imeshasafishwa nguo zimefuliwa and kila kitu kiko in place.
Hakiiii mi sitaki kitu kinaitwa mateso jamani!
Huyu mama namuwazia to do list yake nimechika kwa niaba!
 
What a wise lady🌹.. Mungu akubariki sana aisee, hope ni mama bora sana kwa wanao
i hope i am.
Mi mpk kuna siku nawaambia wanisugue miguu , bana weeeeeh kuna namna i want my life to be as sofy as possible!
So if a MAMA BORA tag comes na kuwaamsha watu waende kazini kutimiza wajibu wao wenyewe, ME am not!
If it comes na mengine yasiyohusisha kukunja mgongo, I AM!
 
Umenifurahisha na kunichekesha at once πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€—.. Ubarikiwe sana aisee
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…