Naogopa kuwa mama

Naogopa kuwa mama

Ukikuta mama mwenye gubu
Unamaliza kufanya usafi anakuja anarudia upya 😀
Ndo wengi wa hivi huwa hivyo.
PERFECTIONISTS heehehehheee miiiimi huyu navopenda kukaa kwenye majani na kutizama tu jua linapozama wakati nyumba yangu ikiwa imeshasafishwa nguo zimefuliwa and kila kitu kiko in place.
Hakiiii mi sitaki kitu kinaitwa mateso jamani!
Huyu mama namuwazia to do list yake nimechika kwa niaba!
 
What a wise lady🌹.. Mungu akubariki sana aisee, hope ni mama bora sana kwa wanao
i hope i am.
Mi mpk kuna siku nawaambia wanisugue miguu , bana weeeeeh kuna namna i want my life to be as sofy as possible!
So if a MAMA BORA tag comes na kuwaamsha watu waende kazini kutimiza wajibu wao wenyewe, ME am not!
If it comes na mengine yasiyohusisha kukunja mgongo, I AM!
 
Umenifurahisha na kunichekesha at once 😂😂😂🤗.. Ubarikiwe sana aisee
 
AF watu mnafanya kazi bado mnakaa kwa wazazi?
Hamuoni kuwa kuwepo kwenu hapo nyumbani ni namna nyingine ya kumchosha huyo mama?
Mi wanangu wakitoka chuo, wakajitegemee huko.
Mmoja kashaanza, we mi nataka kuwa spoiled now mambo ya kulea mijitu mizima in the name of being a Mother sitaki!
🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom