snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Ndo wengi wa hivi huwa hivyo.Ukikuta mama mwenye gubu
Unamaliza kufanya usafi anakuja anarudia upya 😀
PERFECTIONISTS heehehehheee miiiimi huyu navopenda kukaa kwenye majani na kutizama tu jua linapozama wakati nyumba yangu ikiwa imeshasafishwa nguo zimefuliwa and kila kitu kiko in place.
Hakiiii mi sitaki kitu kinaitwa mateso jamani!
Huyu mama namuwazia to do list yake nimechika kwa niaba!