Naogopa kuwa mama

Naogopa kuwa mama

Kwakweli, nitalifanyia kazi
Im sorry to say, mama yenu anawaharibu bila kujua.

Katika maisha ni muhimu mtu kulelewa katika mazingira ya kujitegemea na kushiriki katika majukumu mbalimbali ya nyumbani. Inapotokea mtu mmoja (awe ni mama, baba, mfanyakazi nk) akawa yeye tu ndio anafanya kila kitu, hii inawafanya watu wengine hapo nyumbani kubweteka na kujikuta hawawezi kufanya chochote.

Mfano mimi mke wangu aliniambia yeye tangu azaliwe kazi zote za nyumbani anajua kufanya, isipokua KUPASI nguo ni baba yake amekua akimpasia! Matokeo yake nimemuoa hajui kabisa kupasi, na mwanzoni akawa anategemea eti MIMI ndio nichukue jukumu la kumsaidia kupasi nguo zake na zangu. Mwanzoni nilijitahidi ila nikaona huu ujinga, baada ya kumkomalia imemchukua muda mrefu sana kuja kujua kupasi.

Nina rafiki yangu mwingine wa kike, nae aliniambia nyumbani kwao baba yake ndio amekua akifanya kila kitu kuanzia kwenda sokoni, shopping anasema mpaka chupi, pads nk baba ndio anawanunulia! Kimbembe sasa dada alipokuja kuolewa akawa anategemea mumewe nae awe anafanya kama baba yake, yaani kila kitu afanye. Na asipofanya ni ugomvi humo ndani dada analalamika mume hayuko responsible.

Ushauri wangu nyie watoto hasa wa kike anzeni tabia ya kumlazimisha mama awaachie baadhi ya majukumu muwe mnafanya nyinyi. Mfano kama mpo wakike wawili au watatu mnachagua kila mtu kazi zake ambazo atakua anazifanya na muwe mnazifanya kweli. Kama ni kuosha vyombo, kufua, kufanya usafi nk muwe mnaamka mapema kufanya ili na mama nae apumzike.
 
Asante kwa ushauri mzuri mkuu,… Wacha nijitahidi nianze kuanzia sasa, barikiwa sana🙏🙏
 
Pole sana, Wala usiwe na hofu yoyote na Wala usiogope, hayo mambo unayohofia Wala hayatatokea....watu hubadilika, mazingira pia hubadilika hivyo mama yako siyo wewe...cha msingi ni kufahamu vitu basics tu vingine vya mbwembwe utajua mbele Kwa mbele, don't worry to much about your future, ukiwa unajua basics za kufanya Sasa hivi kama mwanamke Wala hutohofia, tatizo unadhani unatakiwa kuwa kama mama yako lakini Wala sivyo, utazoea.
 
Barikiwa sana mkuu kwa ushauri mzuri
 
Wala usiogope umri unavyoenda kuna mabadiliko yanakuja tu automaticaly. Miaka ya nyuma kipindi nasoma sikumbuki kama kuna siku niliwahi kuamka alfajiri lakini sasa hivi saa 11 alfajiri tayari nipo macho.
Asante sana aisee
 
Mama yako ni yule mwanamke wa mfano Bora aliyetajwa kwenye mithali 31:10-31....ila wasiwasi wangu anaweza kuwa kazalisha kizazi kivivu mno....how comes kazi zote afanye yeye na nyinyi mpo?mtajifunza Nini mkifika kwenye nyumba zenu mtaishije? matokeo ndio haya unaogopa kuwa mama....am sorry mdogo wangu ila ni ukweli mchungu mama hajawatendea haki kimalezi
 
Nina hofu tu my dear, sisi sio wavivu ni vile tu mama hapendi tumsaidie
 
Back
Top Bottom