Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimeshangaa bora nyumba ingekua na watoto wa kiume angalao inajulikana wanaume hawapatani na kazi za jikoni ila mpo wanawake tena watu wazima kazi kama kuosha vyombo nazo zinawashindaMama yako ni yule mwanamke wa mfano Bora aliyetajwa kwenye mithali 31:10-31....ila wasiwasi wangu anaweza kuwa kazalisha kizazi kivivu mno....how comes kazi zote afanye yeye na nyinyi mpo?mtajifunza Nini mkifika kwenye nyumba zenu mtaishije? matokeo ndio haya unaogopa kuwa mama....am sorry mdogo wangu ila ni ukweli mchungu mama hajawatendea haki kimalezi
Malezi yako tofauti sana,yaani mama yangu atakuamsha na ngoma😂Hata mimi nimeshangaa bora nyumba ingekua na watoto wa kiume angalao inajulikana wanaume hawapatani na kazi za jikoni ila mpo wanawake tena watu wazima kazi kama kuosha vyombo nazo zinawashinda
Kitendo cha kuwaacha mnalala, mpaka muamshwe, hamuamki kumsaidia kazi nk ni dalili tosha mna malezi mabovu..Sindwaa pepo🤒🤒..
Sisi sio wavivu wala
😂😂😂😂Maswali yako🙆🙆Au unapenda kuchanika?😀😀
Kumbe ushakuwa mama wawili tayari! I always thought wewe mdogo sana.Mim nina watoto wawili wamepishana mkubwa ako na 4yrs dis August mdogo 1year May mahi dihaaaa🙆🙆🙆
Nakuonea huruma.
Sasa kama had umri huo unafuliwa nguo na kufanyiwa usafi, ni title gani upewe zaidi ya uvivu?Hapana mkuu, mimi sio mvivu
Wewe ni mfifu sana, atakaye oa wewe shiiiii atatesekaNatumai wazima wote,.
Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae (Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona mama yangu anaishi.
Huyu mwanamke sielewi huwa anapumzika mda gani, yeye ndie mtu wa mwisho kulala kila siku. Yaani hawezi kulala kama kuna mtu bado hajaingia nyumbani, na anahakikisha kila mtu amekula amelala anafunga milango ndipo na yeye alale. Na hata akiingia kulala halitapita nusu saa anapita tena vyumba vyote kuhakikisha mmefunga madirisha, mmeshusha neti na mmejifunika vizuri (anaweza akaamka hata mara 4 kwa usiku mmoja).
Haitaishia hapo, bado kuna sisi ambao inabidi asubuhi tuende kazini na wengine shuleni, wanaoamka usiku kusoma na wanaoamka kusali, kila mtu anamtajia mda wake wa kumwamsha hajawahi kukataa wala kupitiliza kutuamsha, always anakua on time.
Sijawahi kushuhudia ni saa ngapi ameamka ila kila tukiamka asubuhi tayari tunamkuta akiwa macho, kashafanya usafi na kashapika chai tunakunywa tunamwacha Nyumbani. Hatujawahi kuona au kushuhudia akilala mchana, Labda itokee anaumwa (napo ni mara chache sana ). Sijui hua anapumzika mda gani
Hajawahi kuishi na msaidizi wa kazi maisha yake yote, lakini hakuna aliyewahi kufua, kudeki, kupika, kuosha vyombo wala kufagia. Sio kwamba hatutaki kumsaidia Hapana, ni kwamba hatujawahi kuona uwanja ukiwa mchafu, vyombo vichafu na mda wowote ukirudi nyumbani unakuta chakula tayari na usafi wote ushafanywa na nguo zote ziko kambani zinakauka.
Licha ya hayo yote vilevile bado hajawahi kuacha kwenda kazini na shughuli zake nyingine zote za ujasiriamali hajawahi kuacha kufanya, hajawahi kuacha kwenda kwenye jumuiya wala kanisani hata jumapili moja, na kwenye dharura zote iwe hospitali au kikao chochote atakachohitajika mzazi awepo basi ni yeye ndio atakuwepo tena kwa wakati. Na sijawahi kumwona akilalamika, akinung’unika wala akimlaumu mtu kwamba hakuna anayemsaidia kazi hata siku moja.
Haya maisha yake yananiogopesha na yananifanya niogope hata kuwaza jinsi nitakavyoishi na watoto wangu huko mbeleni. Sometimes i wish ningekua wakiume labda ningeishi tu kama baba yangu anavyoishi😓😓😓 (Em assume mtu anafanya haya maisha yake yote)
Asante kwa ushauri mzuri big ciccy 🌹🙏Sijawahi kuogopa kuwa mama.Kila Jambo likifika wakati wake unajikuta Tu unaweza kuliishi.Binafsi nna watoto watatu wote bado wako primary.Katika hao watoto last born Tu ndo namwamsha.First born(girl) anaamka mwenyewe na kujiandaa, second ni mvulana std two anaamka mwenyewe anabandika maji ya kuoga,akiyatoa ananibandikia Mimi(hapa ndo nimekuja kugundua watoto wa kiume na mama zao wanavyowapenda)
Kuwa mama kwangu ni furaha Tu.Siku za j'pili mi napenda misa ya kwanza hivo huwa nawaacha wenyewe wanakuja misa ya pili.Na dada hawaamshi Ole wao nirudi kanisani nikute hawajaenda.
Nikutie moyo Tu.Wakati ukifika wala hutojuta.Katika kazi za nyumbani nnazopenda no.moja ni kupika.Hizo nyingine nazifanya Tu.
Sio kama hatuwez kufanya mkuu, naweza na ninajua kila kitu ni vile hapendi kusaidiwa anapenda afanye mwenyewe kila kitu,. Ninachowaza ni kwamba na mimi itabidi niwe kama yeyeSasa kama had umri huo unafuliwa nguo na kufanyiwa usafi, ni title gani upewe zaidi ya uvivu?
On a serious note na mama wa Kuwadekeza mmepata!! Mimi ni wa kiume lakini @14years nilikuwa napika chakula cha jioni cha Familia, kuosha vyombo, pamoja na kupiga pasi nguo za baba (rip).
Sasa nimeelewa!Mimi nimeitazama kwa jicho la mbali sana.
Ukifika umri wangu utanielewa.
Mama yako hayuko sawa, its not even something to be proud of!
I am 42, nina binti wa early 20's been married for almost 18 yrs before now, so hiki ninachokwambia kifanye kazi!
Your mother might be living a hell.
Wewe ni mkubwa, msogelee zaidi ya kuona ni sawa na kujifikiria unatakiwa kuwa kama yeye ukiwa a mother !
Hata wewe hupaswi kuwa hivyo kwa watoto wako!
Dah,Natumai wazima wote,.