Naogopa kuwa mama

Naogopa kuwa mama

Sidhani kama nitaweza kuwa nafanya kila kitu mwenyewe kama ambavyo yeye anafanya, tena bila kumlalamikia mtu
Kwanb u focus kwenye MALALAMIKO? Ndivyo mlivyo au??
UZur hapa JF unaweza ukaja lalamika for free kabisa na ukapewa support.
 
Nisije kua mkabila umetaja character zote za mama angu..

Kuna kipindi udogoni tukiugua care ya mama utadhani mnashare Maumivu ya homa za udogoni..
Uko sahihi Sanaa, kuna kipindi hapa katikati nilikua na changamoto za kikazi zilinipa stress sana,. Ilikua nisipopokea simu yake moja basi nitapewa taarifa reception kama nina mgeni wangu ambaye ni yeye..
Mtu yeyote akiumwa basi atasimamisha shughuli zake zote za siku hiyo abaki na wewe hadi upone..

Roho kama yake mimi sijabarikiwa aisee, inaniogofya😥😥
 
Kwanb u focus kwenye MALALAMIKO? Ndivyo mlivyo au??
UZur hapa JF unaweza ukaja lalamika for free kabisa na ukapewa support.
Kuna namna mimi siwezi kufanya shughuli yeyote pekeyangu ilihali kuna watu naweza kusaidiana nao.. Hiyo spirit sina
 
Uko sahihi Sanaa, kuna kipindi hapa katikati nilikua na changamoto za kikazi zilinipa stress sana,. Ilikua nisipopokea simu yake moja basi nitapewa taarifa reception kama nina mgeni wangu ambaye ni yeye..
Mtu yeyote akiumwa basi atasimamisha shughuli zake zote za siku hiyo abaki na wewe hadi upone..

Roho kama yake mimi sijabarikiwa aisee, inaniogofya😥😥
Siku ukiwa mama automatically roho yake itakuvaa percee
 
Sorry mleta uzi, naomba kufahamu umri wako kwanza na professional yako kabla sijachagua aidha kukulaumu au kukupa elimu. [emoji848]
 
Kuna kitu hujakitaja! Baba yako yupo au ni single mother? Kwa maangaiko haya hawezi kujiweka nadhifu kumvutia mumewe, hilo mosi! Pili, kwa umri ulionao huwezi msaidia mama yako inaonyesha jinsi gani kazaa kizazi zembe kitakachokuwa mzigo kwake mwenyewe nguvu zikiisha! Ndo maana hata wewe unaogopa kuolewa jinsi unavyomuona mama yako! Hopeless mama! Angetakiwa awe anawaamsha usiku saa10 mfanyekazi na kujiandalia mambo yao wenyewe na kuweka mambo ya nyumbani yaliyondani ya uwezo wao
Sijui kwann wamama wanaojitoa sana kwa familia zao watoto wao wanakuwaga kama magunia store.
 
Sijui kwann wamama wanaojitoa sana kwa familia zao watoto wao wanakuwaga kama magunia store.
Sisi kwetu wote Ni hard worker na katika watoto wake wote hakuna mzembe kielimu,kimaisha, kimaendeleo,kijamii
Hope
Hizi zote zitakua Ni kudra za Maulana
 
Hapendi, unaweza ukajioshesha vyombo anakuja arudie upya. Unaweza ufue nguo ukazikuta kwenye dishi ameanza tena, yaani kila kitu anaona kiko perfect akifanya mwenyewe
Mama yenu ana mental disorder, nyie mnadhani yuko sawa na anawapenda..

Hiyo kitaalamu inaitwa "OBSESSIVE COMPULSIVE BEHAVIOR"
 
Huyo mama yako ni kama mama yangu, yaani hajui kupumzika yeye ni kaka kazini, mara anafagia mara analima mara yupo jikoni nk..
Kifupi amenifanya na Mimi niwe kama yeye nafurahia alivyonifunza.
 
Wewe ni mimi kabisa,mwanangu wa chekechea akitoka shule anafua soksi na lesso yake,akimaliza kula anatoa sahani na anasafisha alipolia chakula,sasa huyu mama mwenzetu kachagua kuwa mtumwa Kwa watoto wake mwenyewe Kwa kigezo cha kuwapenda!! Hawafundishi maisha !!!
Umeona enh!
Kiukweli hakuna raha naona kama mtoto anayeweza kujifanyia vitu vyake.
 
Back
Top Bottom