Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Wala usiogope hii inaitwa call barring. Ukiset mtu yyte hakupati kwa sms wala kwa call. Ukipiga unaambiwa namba hii imefungiwa lkn ww unaweza kumpigia mtu na kumtumia sms.Haya mavitu unaweza zima simu permanent!!
Anakimbia deni la mwenye nyumbaShida yote hiyo ya nini sasa...?!
Acha michepuko!
Na namna ya kufunguaWeka *21*100# alafu chukua simu nyingine jaribu kujipigia,Then leta mrejesho mkuu
Ukiset call barring data unatumia km kawaida.Data unatumia kama kawaida,nikiwa na maana ya internet...
Wewe jamaa, lipa tu hilo deni! Hii mbinu yako utafeli...Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshimdwa kuupata...
Shukran,Data unatumia kama kawaida,nikiwa na maana ya internet...
Leta code apaNa namna ya kufungua
Kuijua truecaller unaita watu washamba je ungejua makubwa zaidi ya hayo?!Acheni ushamba nendeni praystore dld kitu kinaitwa truecaller ina kila kitu kama utaki mtu akupigie wala kukutumia msg
Frolah...macho hayana paziaKweli imekubari vp unlock ya *21*100# View attachment 764981
praystore inapatikana na huku chattle au hukohuko mjini?Acheni ushamba nendeni praystore dld kitu kinaitwa truecaller ina kila kitu kama utaki mtu akupigie wala kukutumia msg
Kwa bashitepraystore inapatikana na huku chattle au hukohuko mjini?
Kwa aina zote za simu ama?Soooon, nitakutumia ya kuweka na kutolea.
*21*0027# kuweka
##21# kutoa
Fanya hivi mkuu,*21*0754# kisha kujiondoa #002#Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshimdwa kuupata...