Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshimdwa kuupata...
Wewe jamaa, lipa tu hilo deni! Hii mbinu yako utafeli...
 
Data unatumia kama kawaida,nikiwa na maana ya internet...
Shukran,
Basi hii huduma iko poa.

Alafu samahan niulize tena.

Naona hizi code ziko tofauti tofauti humu wadau wametuma.

Je, ni kwamba inamaanisha kwamba kila mtandao unajitegemea kwa code au nini?

Kwann hizi code zimeletwa tofauti tofauti mkuu
 
Kwa kitochi unawez ukadivert calls kwenda namba yoyote ambayo haipp hewani e.g 1234
Au nenda kwenye setting weka call barring
 
Hivi kuna app ambayo namba ngeni yoyote ikikupigia namba yako inakua haipatkani ?
 
Dah kweli mtu huwezi kujua kila kitu. Hata watu wa mitandao sidhani Kama wanasema hizi codes
 
Back
Top Bottom